Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested