Nahitaji watu 99 wenye uwezo wa kuweka laki moja kwa mwezi

Wazo zuri Boss nimekupm namba uniweke kwa group.. then usipoteze sana muda na hizo Negative comment.
 
Mzeee hii kitu nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera sana kwa kuwa na mradi huu was ng'ombe, ningependa kujua na kupata uzoefu kwako, huu mradi wako was ng'ombe hadi sasa wako ng'ombe wangapi? He gharama za kuuendesha huu mradi zikoje?

 
Good idea lakini implementation will be zero. Na katika project kikubwa kinachoangaliwa ni je idea yako inaweza kuwa implemented?. If not, basi project inakuwa not viable and valid.

Therefore, Your idea not fuctioning.
 
Wapi huko litre moja ya maziwa ni 700?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya ku-sign-up kwenye mitandao hua siyaamini sana. Maranyingine yanakusanya taarifa nyingi hadinza device unayotumia unajikuta tu mtu umekamatwa. Kumbuka kuwa member tu wa JF ww tayari ni "wanted" hata kama mwisho wa siku watakuachia lakini ukikamatwa lazima upekuliwe.

Weka namba mkuu tucomfirm tu kwa simu afu kwenye kikao tuje na vitochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GOOD IDEA
 
Haya mawazo unatakiwa ujiunge kwenye kikundi ili uwe sehemu ya implementation. Trust umeezea vzr na jamaa mwenye idea anahitaji watu wa dzain yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo tayari kupanga nikichagua naomba wenye uwezo wa laki kwa mwezi kama mimi tujikusanye ni idea nzuri kwa navyonaa mimi kama itakuwa kama ilivyoandikwa asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
idea nzuri sana! wazo langu ikiwezekana wangeanza watu 20 tukaona changamoto zake na marekebisho yake!
 
Dah mzee iko vzr, kwa hii hata mtu 20 zenye uhakika na 250 mnafanya ya maana ndani ya mwaka, business ideas zipo kibao

Tabu iko pale pale
 
Ni kweli watu 100 ni wengi mno kuanzia, ilikuwa ni vyema wakaanza watu 10, kupitia hao zikajulikana changamoto na namna ya utatuzi wake, na taratibu kikundi kikawa kinakua mpaka kufikia hao watu 100 na kuendelea.
Ila ni wazo zuri kama lina ukweli na uaminifu ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…