Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za wasomi hizi...ndo mana wengi wenu maskini,eti trust me haifiki popote...
Ndio maana hii nchi haiendelei kwa sababu ya kupuuza mawazo ya wasomiAkili za wasomi hizi...ndo mana wengi wenu maskini,eti trust me haifiki popote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi ana nini zaidi ya uwoga????Ndio maana hii nchi haiendelei kwa sababu ya kupuuza mawazo ya wasomi
Mzeee hii kitu nzuri sanaCount me ON, nitatoa mil 1 onsport na mradi ninao wa kufuga ng'ombe wa maziwa mpaka sasa kila siku napata lita 40 ambayo ni kama 28,000 daily. Tunaweza improve huu mradi ukaleta maziwa hadi lita 400 ambayo itakuwa 280,000 daily (revenue not profit). So tukifanikiwa kutengeneza faida ya 100,000 kwa siku hope we will make something significant. This is possible, market is guaranteed at price of 700 Tshs per litre.
Count me ON, nitatoa mil 1 onsport na mradi ninao wa kufuga ng'ombe wa maziwa mpaka sasa kila siku napata lita 40 ambayo ni kama 28,000 daily. Tunaweza improve huu mradi ukaleta maziwa hadi lita 400 ambayo itakuwa 280,000 daily (revenue not profit). So tukifanikiwa kutengeneza faida ya 100,000 kwa siku hope we will make something significant. This is possible, market is guaranteed at price of 700 Tshs per litre.
Wapi huko litre moja ya maziwa ni 700?Count me ON, nitatoa mil 1 onsport na mradi ninao wa kufuga ng'ombe wa maziwa mpaka sasa kila siku napata lita 40 ambayo ni kama 28,000 daily. Tunaweza improve huu mradi ukaleta maziwa hadi lita 400 ambayo itakuwa 280,000 daily (revenue not profit). So tukifanikiwa kutengeneza faida ya 100,000 kwa siku hope we will make something significant. This is possible, market is guaranteed at price of 700 Tshs per litre.
GOOD IDEANajua wengi tutasema ni "utapeli", wengine watasema ni upigaji.
Lakini naomba niwatoe hofu, hili ni wazo lenye kuleta manufaa endapo tutaweza kwenda sawa na makubaliano.
Hao watu 99 mimi nikiwa wa 100 tutafanya nini? Au ni wa kazi gani?
Ipo hivi, wazo langu ni kuwa na vikundi vitano ndani ya hao watu 100. Yaani kikundi kimoja kinakua na watu 20.
Je, laki moja ya nini kila mwezi ndani ya mwaka mmoja?
Hiyo laki moja kila mwezi kwa watu 100, tunapata mil 10. Hiyo milion 10, itakua inafungua mradi mmoja kwa kila mwezi ambao utakua ni mradi wa kikundi "A" ambao utasimamiwa na watu wote 100. Pia mwezi wa pili, unafunguliwa mradi wa kundi "B" ambao pia unakuwa chini ya watu wote kwanza.
Kwahiyo ndani ya miezi 5, tutakua tumeweza kuwa na miradi mitano inayosimamiwa na watu 100.
Plan yangu ni kuwa na miradi 10 ndani ya mwaka mmoja. Hivyo basi, tutatoa hizo laki laki kwa muda wa miezi 10. Baada ya hapo, kila kikundi kitakua na miradi miwili.
Nini fursa na hili wazo?
1. Tutaondokana na wimbi la kutegemea mshahara tu kutoka kwa waajiri wetu
2. Tutaweza kujifunza namna ya kusimamia na kuendesha miradi mbali mbali
3. Tutazalisha fursa za ajira kwa watu wengi maana miradi itakua endelevu na yenye kujizaa. Maana hatutaishia na miradi hiyo kumi tu
4. Kadri miradi itakavyokua inaongezeka, ndivyo ugawianaji wa faidi utakavyokua unazidi na kujikuta tunaachana na utumwa wa kutegemea ajira
5. Tutaweza kupata mikopo kutoka serikalini inayotolewa kwenye vikundi
Ikumbukwe, hii sio fursa ya kupata faida haraka haraka. Ila, kwa huko mbele, itakua na manufaa.
Kama itawezekana kupata watu wote hao, tutasajiri kikundi kwa kufuata sheria za nchi
Kama upo tayari na una uwezo wa kutoa laki kila mwezi ndani ya miezi 10, basi karibu pm au jiunge kwenye group la whatsap kupitia 100 special ili niweze kukusajiri kwa usajiri wa awali kabla hatujaanza vikao vya kukutana na kusajiri kikundi tayari kwa kuanza kuchangia.
Pia, hatutachangia hela yoyote kabla hatujasajiri wala kufahamiana kiundani na kuweka sawa masuala ya fedha. Na hatutachangia bila kujua tutaanzisha mradi gani na mchanganuo wake kwa mtaji huo wa mil 10. Maana yake ni nini hapa, maana yake ni kuwa, kila mwezi kutakua na kikao cha pamoja.
Karibuni sana
Haya mawazo unatakiwa ujiunge kwenye kikundi ili uwe sehemu ya implementation. Trust umeezea vzr na jamaa mwenye idea anahitaji watu wa dzain yakoWazo ni zuri sanaaa ukilisoma ila kimkakati utekelezaji wake ni mgumu sanaa.kwani halijakamilika.
1.Mfano,muasisi wa wazo ameshindwa kubainisha aina za miradi kwa vikundi vyote vitano had kumi (walau kwa kutoa mifano ya miradi mhimu ya kuanzia)
2.Kwa mujibu wa maelezo ya mleta hoja, Usimamizi na uendeshaji wa miradi utategemea wakati ujao utaamua nini.(mleta hoja hajabainisha ni njia zipi zitatumika kudhibiti uhai na ongezeko la Mapato)
3.kwa kuanzia idadi ya miradi ni mingi mnooo, kiasi cha kutishia uhai wa vikundi mana mgawanyiko ni mkubwa na ndo kwanza miradi inaanzishwa,lakini pia usimamizi wake utatengeneza changamoto nyingi(mgawanyo unatakiwa bada ya kikundi mama kukomaa na kuzaa Matunda)
Ushauri Wang
Kwakuwa wazo ni zuri
Hakuna sababu ya kufikiria miradi mingi wakati hata mradi mmoja unaweza kusaidia wanakikundi wote kufikia Malengo.
Mfano.kwa mtaji wa million 200 wanakikundi wanaweza fungua kampuni na kusimamia biashara ya kuuza smart electronics, smenti au maji kwajumla (huu ni mfano Tu) Jijini Dodoma ambako kwasasa biashara hizo bado zinafrusa mbichi kabisa.
Kwa gharama nafuu ya usimamizi wa rasilimali Watu,vitu,na mapato. Wanakikundi wataendesha mradi wao bila stress,watatengeneza mfumo mmoja wa usimamizi wa biashara na mapato,gharama za uendeshaji zitapungua Sana,watabaki kusubiri gawio na kuhudhuria vikao vya wanahisa kila bada ya miezi kadhaa kwa kadri watakavyoona inafaa.
Mradi ukikomaaa utazalisha frusa za kumiliki soko,kupata mikopo,ufadhili,uwakala na ubia na makampuni makubwa ya ndani na nje ya nchi kwa biashara nyingine zinazokimbiza sokoni
Kuhusu kutengeneza ajira kwa kuanzia tayari watu 100 wamejiajiri na kujiri wengine kadhaa(mathalani wafanyakazi watano dukani/depot)
Wazo ni zuri sana likiboreshwa am in!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mzee iko vzr, kwa hii hata mtu 20 zenye uhakika na 250 mnafanya ya maana ndani ya mwaka, business ideas zipo kibaoNajua wengi tutasema ni "utapeli", wengine watasema ni upigaji.
Lakini naomba niwatoe hofu, hili ni wazo lenye kuleta manufaa endapo tutaweza kwenda sawa na makubaliano.
Hao watu 99 mimi nikiwa wa 100 tutafanya nini? Au ni wa kazi gani?
Ipo hivi, wazo langu ni kuwa na vikundi vitano ndani ya hao watu 100. Yaani kikundi kimoja kinakua na watu 20.
Je, laki moja ya nini kila mwezi ndani ya mwaka mmoja?
Hiyo laki moja kila mwezi kwa watu 100, tunapata mil 10. Hiyo milion 10, itakua inafungua mradi mmoja kwa kila mwezi ambao utakua ni mradi wa kikundi "A" ambao utasimamiwa na watu wote 100. Pia mwezi wa pili, unafunguliwa mradi wa kundi "B" ambao pia unakuwa chini ya watu wote kwanza.
Kwahiyo ndani ya miezi 5, tutakua tumeweza kuwa na miradi mitano inayosimamiwa na watu 100.
Plan yangu ni kuwa na miradi 10 ndani ya mwaka mmoja. Hivyo basi, tutatoa hizo laki laki kwa muda wa miezi 10. Baada ya hapo, kila kikundi kitakua na miradi miwili.
Nini fursa na hili wazo?
1. Tutaondokana na wimbi la kutegemea mshahara tu kutoka kwa waajiri wetu
2. Tutaweza kujifunza namna ya kusimamia na kuendesha miradi mbali mbali
3. Tutazalisha fursa za ajira kwa watu wengi maana miradi itakua endelevu na yenye kujizaa. Maana hatutaishia na miradi hiyo kumi tu
4. Kadri miradi itakavyokua inaongezeka, ndivyo ugawianaji wa faidi utakavyokua unazidi na kujikuta tunaachana na utumwa wa kutegemea ajira
5. Tutaweza kupata mikopo kutoka serikalini inayotolewa kwenye vikundi
Ikumbukwe, hii sio fursa ya kupata faida haraka haraka. Ila, kwa huko mbele, itakua na manufaa.
Kama itawezekana kupata watu wote hao, tutasajiri kikundi kwa kufuata sheria za nchi
Kama upo tayari na una uwezo wa kutoa laki kila mwezi ndani ya miezi 10, basi karibu pm au jiunge kwenye group la whatsap kupitia 100 special ili niweze kukusajiri kwa usajiri wa awali kabla hatujaanza vikao vya kukutana na kusajiri kikundi tayari kwa kuanza kuchangia.
Pia, hatutachangia hela yoyote kabla hatujasajiri wala kufahamiana kiundani na kuweka sawa masuala ya fedha. Na hatutachangia bila kujua tutaanzisha mradi gani na mchanganuo wake kwa mtaji huo wa mil 10. Maana yake ni nini hapa, maana yake ni kuwa, kila mwezi kutakua na kikao cha pamoja.
Karibuni sana
Ni kweli watu 100 ni wengi mno kuanzia, ilikuwa ni vyema wakaanza watu 10, kupitia hao zikajulikana changamoto na namna ya utatuzi wake, na taratibu kikundi kikawa kinakua mpaka kufikia hao watu 100 na kuendelea.Ni wazo zuri sana kwa mtu anaeangalia mbali.
Hao watu mia ni wengi mno kwa kuanza mradi labda kama ungeufanya mradi huo sehemu moja ambapo utapata wote hao
Nina maana kama kijijini ambapo mnaweza kuanzisha miradi ya kilimo, na ufugaji na mbogamboga.
Lakini kumbuka humu tumo watu wengi na wengine nje ya nchi.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk