Nahitaji watu 99 wenye uwezo wa kuweka laki moja kwa mwezi

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Najua wengi tutasema ni "utapeli", wengine watasema ni upigaji.
Lakini naomba niwatoe hofu, hili ni wazo lenye kuleta manufaa endapo tutaweza kwenda sawa na makubaliano.

Hao watu 99 mimi nikiwa wa 100 tutafanya nini? Au ni wa kazi gani?
Ipo hivi, wazo langu ni kuwa na vikundi vitano ndani ya hao watu 100. Yaani kikundi kimoja kinakua na watu 20.

Je, laki moja ya nini kila mwezi ndani ya mwaka mmoja?

Hiyo laki moja kila mwezi kwa watu 100, tunapata mil 10. Hiyo milion 10, itakua inafungua mradi mmoja kwa kila mwezi ambao utakua ni mradi wa kikundi "A" ambao utasimamiwa na watu wote 100. Pia mwezi wa pili, unafunguliwa mradi wa kundi "B" ambao pia unakuwa chini ya watu wote kwanza.

Kwahiyo ndani ya miezi 5, tutakua tumeweza kuwa na miradi mitano inayosimamiwa na watu 100.

Plan yangu ni kuwa na miradi 10 ndani ya mwaka mmoja. Hivyo basi, tutatoa hizo laki laki kwa muda wa miezi 10. Baada ya hapo, kila kikundi kitakua na miradi miwili.

Nini fursa na hili wazo?
1. Tutaondokana na wimbi la kutegemea mshahara tu kutoka kwa waajiri wetu

2. Tutaweza kujifunza namna ya kusimamia na kuendesha miradi mbali mbali

3. Tutazalisha fursa za ajira kwa watu wengi maana miradi itakua endelevu na yenye kujizaa. Maana hatutaishia na miradi hiyo kumi tu

4. Kadri miradi itakavyokua inaongezeka, ndivyo ugawianaji wa faidi utakavyokua unazidi na kujikuta tunaachana na utumwa wa kutegemea ajira

5. Tutaweza kupata mikopo kutoka serikalini inayotolewa kwenye vikundi

Ikumbukwe, hii sio fursa ya kupata faida haraka haraka. Ila, kwa huko mbele, itakua na manufaa.

Kama itawezekana kupata watu wote hao, tutasajiri kikundi kwa kufuata sheria za nchi

Kama upo tayari na una uwezo wa kutoa laki kila mwezi ndani ya miezi 10, basi karibu pm au jiunge kwenye group la whatsap kupitia 100 special ili niweze kukusajiri kwa usajiri wa awali kabla hatujaanza vikao vya kukutana na kusajiri kikundi tayari kwa kuanza kuchangia.

Pia, hatutachangia hela yoyote kabla hatujasajiri wala kufahamiana kiundani na kuweka sawa masuala ya fedha. Na hatutachangia bila kujua tutaanzisha mradi gani na mchanganuo wake kwa mtaji huo wa mil 10. Maana yake ni nini hapa, maana yake ni kuwa, kila mwezi kutakua na kikao cha pamoja.

Karibuni sana
 
Count me ON, nitatoa mil 1 onsport na mradi ninao wa kufuga ng'ombe wa maziwa mpaka sasa kila siku napata lita 40 ambayo ni kama 28,000 daily. Tunaweza improve huu mradi ukaleta maziwa hadi lita 400 ambayo itakuwa 280,000 daily (revenue not profit). So tukifanikiwa kutengeneza faida ya 100,000 kwa siku hope we will make something significant. This is possible, market is guaranteed at price of 700 Tshs per litre.
 
Alafu wewe ndo UTAKUWA MSHIKAJI WA HELA ZA MICHANGO...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]#hiii hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema mimi nitakua naweka hela. Alafu lazima ujue kuwa, hakuna hela itawekwa, yote itaingia kwenye miradi.
Ipo hivi, hatutachanga hela zetu, mpaka tujue tunaenda kufungua mradi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua wengi tutasema ni "utapeli", wengine watasema ni upigaji.
Lakini naomba niwatoe hofu, hili ni wazo lenye kuleta manufaa endapo tutaweza kwenda sawa na makubaliano.

Hao watu 99 mimi nikiwa wa 100 tutafanya nini? Au ni wa kazi gani?
Ipo hivi, wazo langu ni kuwa na vikundi vitano ndani ya hao watu 100. Yaani kikundi kimoja kinakua na watu 20.

Je, laki moja ya nini kila mwezi ndani ya mwaka mmoja?

Hiyo laki moja kila mwezi kwa watu 100, tunapata mil 10. Hiyo milion 10, itakua inafungua mradi mmoja kwa kila mwezi ambao utakua ni mradi wa kikundi "A" ambao utasimamiwa na watu wote 100. Pia mwezi wa pili, unafunguliwa mradi wa kundi "B" ambao pia unakuwa chini ya watu wote kwanza.

Kwahiyo ndani ya miezi 5, tutakua tumeweza kuwa na miradi mitano inayosimamiwa na watu 100.

Plan yangu ni kuwa na miradi 10 ndani ya mwaka mmoja. Hivyo basi, tutatoa hizo laki laki kwa muda wa miezi 10. Baada ya hapo, kila kikundi kitakua na miradi miwili.

Nini fursa na hili wazo?
1. Tutaondokana na wimbi la kutegemea mshahara tu kutoka kwa waajiri wetu

2. Tutaweza kujifunza namna ya kusimamia na kuendesha miradi mbali mbali

3. Tutazalisha fursa za ajira kwa watu wengi maana miradi itakua endelevu na yenye kujizaa. Maana hatutaishia na miradi hiyo kumi tu

4. Kadri miradi itakavyokua inaongezeka, ndivyo ugawianaji wa faidi utakavyokua unazidi na kujikuta tunaachana na utumwa wa kutegemea ajira

5. Tutaweza kupata mikopo kutoka serikalini inayotolewa kwenye vikundi

Ikumbukwe, hii sio fursa ya kupata faida haraka haraka. Ila, kwa huko mbele, itakua na manufaa.

Kama itawezekana kupata watu wote hao, tutasajiri kikundi kwa kufuata sheria za nchi

Kama upo tayari na una uwezo wa kutoa laki kila mwezi ndani ya miezi 10, basi karibu pm ili niweze kukusajiri kwa usajiri wa awali kabla hatujaanza vikao vya kukutana na kusajiri kikundi tayari kwa kuanza kuchangia.

Pia, hatutachangia hela yoyote kabla hatujasajiri wala kufahamiana kiundani na kuweka sawa masuala ya fedha. Na hatutachangia bila kujua tutaanzisha mradi gani na mchanganuo wake kwa mtaji huo wa mil 10. Maana yake ni nini hapa, maana yake ni kuwa, kila mwezi kutakua na kikao cha pamoja.

Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vyombo vya sheria vinavyohusika maana unaongelea hela za mtu,
 
nusuhela big vulnerability in managing people and big skills and experience in managing business; hapo tu kikwazo kuu. Otherwise hii ni idea bomba sana, but trust me haifiki popote!
CC: FRESHMAN
Huwa siamini kwenye kushindwa. Kikubwa tuweke hofu pembeni na tukubali kupata faida mbeleni.

Mbona wenzetu wanaendelea kwa vikundi na wanatokea huko. Wanajikuta wanajitengenezea ajira ambazo wao wanakua wanahisa huko. Wanapata faida mara mbili. Na mtu akifanya kazi sehemu ambayo ana hisa, hufanya kwa moyo wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka ugumu, hakika ugumu hukomaa.

Watu wote wangweka ugumu, leo hii tusingetumia nafasi hii kuwasiliana

Sent using Jamii Forums mobile app

mambo ya hela.. watu mia moja.. mliojuana mtandaoni... sio ishu ndogo..

utapeli, wizi, uzurumati, ubinafsi umetujaa sana watanzania... hata wewe unaweza ukawa na nia nzuri au ukawa na nia mbaya pia..

ontario alikuja kama mkombozi humu na idea nzuri kuliko yako.. ila mwisho wa siku kaliza watu
 
Count me ON, nitatoa mil 1 onsport na mradi ninao wa kufuga ng'ombe wa maziwa mpaka sasa kila siku napata lita 40 ambayo ni kama 28,000 daily. Tunaweza improve huu mradi ukaleta maziwa hadi lita 400 ambayo itakuwa 280,000 daily (revenue not profit). So tukifanikiwa kutengeneza faida ya 100,000 kwa siku hope we will make something significant. This is possible, market is guaranteed at price of 700 Tshs per litre.
Kama hutajali, naomba mwaliko kwenye mradi wako tafadhali, kwa ajili ya kujifunza na kuona kama kuna fursa!
 
mambo ya hela.. watu mia moja.. mliojuana mtandaoni... sio ishu ndogo..

utapeli, wizi, uzurumati, ubinafsi umetujaa sana watanzania... hata wewe unaweza ukawa na nia nzuri au ukawa na nia mbaya pia..

ontario alikuja kama mkombozi humu na idea nzuri kuliko yako.. ila mwisho wa siku kaliza watu
Mawazo yako nayachukua kama challenge ambayo itatufanya wana kikundi kusonga mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa siamini kwenye kushindwa. Kikubwa tuweke hofu pembeni na tukubali kupata faida mbeleni.

Mbona wenzetu wanaendelea kwa vikundi na wanatokea huko. Wanajikuta wanajitengenezea ajira ambazo wao wanakua wanahisa huko. Wanapata faida mara mbili. Na mtu akifanya kazi sehemu ambayo ana hisa, hufanya kwa moyo wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakina nani hao wenzetu
 
Kaka, exprience is the best teacher! Naongelea details kaka....unakolala ndiko watu walikoamkia, kama unaweza kunielewa!
 
Back
Top Bottom