antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Hello JF members!
Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na kupata kipato kizuri Basi ni hii ya web developer so kwa kutambua hili nataka niingie rasmi kwenye kujifunza (self learning)
Ko Kama Kuna mtu/watu ambaye tunaweza kupeana kampani itakuwa vizuri sana ili tuweze kuanza rasmi hii haijarishi uwezo wako wa sasa ulio nao kwenye coding Mimi nahitaji tuanze mwanzo kabisa na language ya html mpaka kuja kucode mifumo yetu wenyewe ambayo ni madhubuti
Najua tukiwa serius baada ya miezi 7 tutakuwa tupo sehemu ambayo Ina mwanga tayari na tukikomaa mwaka mmoja Basi tutakuwa tumeiva naamini hakuna kinachoshindikana
Kama upo tayari tuweze kuongea tuanzie wapi
Mimi nipo dar es salaam na tukionana najua tutapanga mipango vizuri namna ya kupata kaofisi kadogo ka kuanzia ambapo tutakuwa tunakutana na baadhi ya vifaa vichache Kama pc n.k
NB. Nahitaji watu serius na mwenye Nia ya kweli sio kwamba umekuja wiki mbili unanitelekeza nahitaji mtu ambaye Hana chembe ya kukata tamaa
Ahsante