Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Kutoka na kila mtu kuwa katika location tofauti basi tutengeneze club au learning group kupitia hii thread,telegram,clubhouse au google meet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki WhatsApp mkuu 0747456177Wazo zuri, nafuatiliaga sana ishu za tech kutengeneza Team au Ecosystem ndio msingi wa kufanikiwa.
Misijawai jifunza Coding ila ilikuwa kwenye mipango yangu, naomba niwepo kwenye hili jambo.
Nashuri tuwe kama watano mapaka sita tutafute sehemu hata kukodi chumba cha 50,000 kwa mwezi tunaweka Working Station tu inatosha tunaweza kukitana kilasiku au hata Weekend kwawalio bize, hii itasaidia kutengeneza Ecosystem unayokuwa nayo kwenye Niche husika...hata ukiwa muda mwengine unajifunza mwenyewe muda mwengine unajumuika na Team.
Umeongea point Sana mkuuNipo hapa uncle wenu, Kwa vijana under 40 hii ni great opportunity, mmezaliwa wakati mzuri nyie, sie social group zilikuwa shuleni na mtaani na mawazo makuu yalikuwa kuambukizana tabia za kisela na kukomalia masomo ya darasani tu.
Sasa jukwaa kama hili ni faida kubwa sana kuwaunganisha watu wanaotaka ku adapt na ulimwengu unavyokwenda.
Mpaka leo siku ya tatu bado watu wanajadili kuunda timu , ilitakiwa mpaka leo ziwe zimeundwa timu na yamewekwa malengoTimu zinaweza kuwa kwenye kona tofauti tofauti kulingana na watu walipo na kuwe na central group wasap ambalo litaunganisha nuclear group ili kiweza kupush pale ambapo group fulani linakwama, ikiwezekana hapa hapa JF pawe napo kama group mama.
Wapuuzeni wanaodhani wanajua na wanataka kutumiwa ujuzi wao bure ni wajinga sana.
Binafsi natembelea sana Naira na quora forum ktk tevh forum wao hawana wivu wanapeana ushauri na kusaidiana mambo ya tech nashangaa hapa kuna watu wamekuja na negative altitude, they are fool!
Unaweza ukawa umeanza na mwezzio akaja nyuma kumbe ndio mwenye annovative ideas na ndio maana kila kukicha new comers come up with new technology.
Wewe unaejua kuwa mentor basi kwani kuna faida kubwa sana to mentor others, halafu kujua kwako hakutazuia watu wasijue, njia ni nyingi sana za kujifunza haya mambo hata kama utakataa to join others. Acha niishie hapa.
napend tushrkiane ila mm nipo MWZ. je inawezekana ?Hello JF members!
Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na kupata kipato kizuri Basi ni hii ya web developer so kwa kutambua hili nataka niingie rasmi kwenye kujifunza (self learning)
Ko Kama Kuna mtu/watu ambaye tunaweza kupeana kampani itakuwa vizuri sana ili tuweze kuanza rasmi hii haijarishi uwezo wako wa sasa ulio nao kwenye coding Mimi nahitaji tuanze mwanzo kabisa na language ya html mpaka kuja kucode mifumo yetu wenyewe ambayo ni madhubuti
Najua tukiwa serius baada ya miezi 7 tutakuwa tupo sehemu ambayo Ina mwanga tayari na tukikomaa mwaka mmoja Basi tutakuwa tumeiva naamini hakuna kinachoshindikana
Kama upo tayari tuweze kuongea tuanzie wapi
Mimi nipo dar es salaam na tukionana najua tutapanga mipango vizuri namna ya kupata kaofisi kadogo ka kuanzia ambapo tutakuwa tunakutana na baadhi ya vifaa vichache Kama pc n.k
NB. Nahitaji watu serius na mwenye Nia ya kweli sio kwamba umekuja wiki mbili unanitelekeza nahitaji mtu ambaye Hana chembe ya kukata tamaa
Ahsante
Interested my wtp no.0710526835Mimi pia niko mbali Sana huku mikoani, iyo kitu naitamani. Wale ambao wangependa tuelekezane ONLINE nitumie namba yako pm, nikuadd kwenye WhatsApp group ambalo nimeanzisha. Halina members wowote ni group jipya. Tunaweza kukutana huko na kujadiliana abc za programming.
Idea nzuri inahitaji userious wa hali ya juu, na mipango ya mda mrefuHello JF members!
Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na kupata kipato kizuri Basi ni hii ya web developer so kwa kutambua hili nataka niingie rasmi kwenye kujifunza (self learning)
Ko Kama Kuna mtu/watu ambaye tunaweza kupeana kampani itakuwa vizuri sana ili tuweze kuanza rasmi hii haijarishi uwezo wako wa sasa ulio nao kwenye coding Mimi nahitaji tuanze mwanzo kabisa na language ya html mpaka kuja kucode mifumo yetu wenyewe ambayo ni madhubuti
Najua tukiwa serius baada ya miezi 7 tutakuwa tupo sehemu ambayo Ina mwanga tayari na tukikomaa mwaka mmoja Basi tutakuwa tumeiva naamini hakuna kinachoshindikana
Kama upo tayari tuweze kuongea tuanzie wapi
Mimi nipo dar es salaam na tukionana najua tutapanga mipango vizuri namna ya kupata kaofisi kadogo ka kuanzia ambapo tutakuwa tunakutana na baadhi ya vifaa vichache Kama pc n.k
NB. Nahitaji watu serius na mwenye Nia ya kweli sio kwamba umekuja wiki mbili unanitelekeza nahitaji mtu ambaye Hana chembe ya kukata tamaa
Ahsante
Tulio mbali mikoani tunaweza kupeana maujuzi hapa kuhusiana website development n.kWaaakuuu habari
Hii idea ilifikia wapi maana namm nahitaji wakuu
nenda You tube, telegram channel kibao zipoMimi pia niko mbali Sana huku mikoani, iyo kitu naitamani. Wale ambao wangependa tuelekezane ONLINE nitumie namba yako pm, nikuadd kwenye WhatsApp group ambalo nimeanzisha. Halina members wowote ni group jipya. Tunaweza kukutana huko na kujadiliana abc za programming.
Aina ya computer inayotakiwa ni ipi hasaHamtofika mbali trust me. We chukua tutorials ,tafuta online communities , fanya mazoezi ya kutosha,kuwa consistent. Mwisho wa siku utaweza ku connect dots.
SahihiNipo hapa uncle wenu, Kwa vijana under 40 hii ni great opportunity, mmezaliwa wakati mzuri nyie, sie social group zilikuwa shuleni na mtaani na mawazo makuu yalikuwa kuambukizana tabia za kisela na kukomalia masomo ya darasani tu.
Sasa jukwaa kama hili ni faida kubwa sana kuwaunganisha watu wanaotaka ku adapt na ulimwengu unavyokwenda.
Mpaka leo siku ya tatu bado watu wanajadili kuunda timu , ilitakiwa mpaka leo ziwe zimeundwa timu na yamewekwa malengoTimu zinaweza kuwa kwenye kona tofauti tofauti kulingana na watu walipo na kuwe na central group wasap ambalo litaunganisha nuclear group ili kiweza kupush pale ambapo group fulani linakwama, ikiwezekana hapa hapa JF pawe napo kama group mama.
Wapuuzeni wanaodhani wanajua na wanataka kutumiwa ujuzi wao bure ni wajinga sana.
Binafsi natembelea sana Naira na quora forum ktk tevh forum wao hawana wivu wanapeana ushauri na kusaidiana mambo ya tech nashangaa hapa kuna watu wamekuja na negative altitude, they are fool!
Unaweza ukawa umeanza na mwezzio akaja nyuma kumbe ndio mwenye annovative ideas na ndio maana kila kukicha new comers come up with new technology.
Wewe unaejua kuwa mentor basi kwani kuna faida kubwa sana to mentor others, halafu kujua kwako hakutazuia watu wasijue, njia ni nyingi sana za kujifunza haya mambo hata kama utakataa to join others. Acha niishie hapa.
So nimecheck how much inacost to design a website front end nimeona inaanzia usd 1000 to usd 7000 ni sawa na kusema 2 million tsh mpaka 14 million tsh per project.
Nilkuwa najifunza for fun lakini baada ya kuona hiyo taarifa now nadhani I should get more serious.
Nyie jamaa na group lenu mmefikia wapi au group limekufa?
Leo nimeimodify kidogo now it's looking way better.
To be honest if it was a girl I would've call it thicker than a bowl of oatmeal.
View attachment 2118543
Ndio maana ake mkuu.Washajikataa umebaki wewe sio😂