Nahitaji watu wawili au watatu tuunganishe nguvu ya kujifunza app/web development

Kutoka na kila mtu kuwa katika location tofauti basi tutengeneze club au learning group kupitia hii thread,telegram,clubhouse au google meet
 
Wazo zuri, nafuatiliaga sana ishu za tech kutengeneza Team au Ecosystem ndio msingi wa kufanikiwa.

Misijawai jifunza Coding ila ilikuwa kwenye mipango yangu, naomba niwepo kwenye hili jambo.

Nashuri tuwe kama watano mapaka sita tutafute sehemu hata kukodi chumba cha 50,000 kwa mwezi tunaweka Working Station tu inatosha tunaweza kukitana kilasiku au hata Weekend kwawalio bize, hii itasaidia kutengeneza Ecosystem unayokuwa nayo kwenye Niche husika...hata ukiwa muda mwengine unajifunza mwenyewe muda mwengine unajumuika na Team.
 
Nicheki WhatsApp mkuu 0747456177
 
Nipo hapa uncle wenu, Kwa vijana under 40 hii ni great opportunity, mmezaliwa wakati mzuri nyie, sie social group zilikuwa shuleni na mtaani na mawazo makuu yalikuwa kuambukizana tabia za kisela na kukomalia masomo ya darasani tu.
Sasa jukwaa kama hili ni faida kubwa sana kuwaunganisha watu wanaotaka ku adapt na ulimwengu unavyokwenda.
Mpaka leo siku ya tatu bado watu wanajadili kuunda timu , ilitakiwa mpaka leo ziwe zimeundwa timu na yamewekwa malengoTimu zinaweza kuwa kwenye kona tofauti tofauti kulingana na watu walipo na kuwe na central group wasap ambalo litaunganisha nuclear group ili kiweza kupush pale ambapo group fulani linakwama, ikiwezekana hapa hapa JF pawe napo kama group mama.
Wapuuzeni wanaodhani wanajua na wanataka kutumiwa ujuzi wao bure ni wajinga sana.
Binafsi natembelea sana Naira na quora forum ktk tevh forum wao hawana wivu wanapeana ushauri na kusaidiana mambo ya tech nashangaa hapa kuna watu wamekuja na negative altitude, they are fool!
Unaweza ukawa umeanza na mwezzio akaja nyuma kumbe ndio mwenye annovative ideas na ndio maana kila kukicha new comers come up with new technology.
Wewe unaejua kuwa mentor basi kwani kuna faida kubwa sana to mentor others, halafu kujua kwako hakutazuia watu wasijue, njia ni nyingi sana za kujifunza haya mambo hata kama utakataa to join others. Acha niishie hapa.
 
Umeongea point Sana mkuu
 
Waaakuuu habari
Hii idea ilifikia wapi maana namm nahitaji wakuu
 
napend tushrkiane ila mm nipo MWZ. je inawezekana ?
 
Interested my wtp no.0710526835
 
Idea nzuri inahitaji userious wa hali ya juu, na mipango ya mda mrefu
na mda mfup.
 
Kwanini msiifanye hii thread kuwa kama sehemu maalum ya kujifunza na kusaidiana na kila mtu aweze kuona maendeleo pia labda mtu kusaidia ikiwezekana sababu humu kuna wenye uzoefu zaidi kwenye hiyo sector.
Honestly speaking mimi katika harakati zangu zote za kujifunza sijawahi kuomba msaada, sipendi kuomba msaada pia sipendi kusaidiwa sababu napenda kujifunza mwenyewe zaidi.
na kila nikikutana na changamoto basi nitataka kuitatua mwenyewe ili kupata uzoefu zaidi na kujua nje ndani ya tatizo na kwanini limetokea na nitatatua vipi next time.
Lakini kusaidia wengine sioni tatizo, so this is not for me but for everyone who needs help.

Mimi sio fan mkubwa web development bali napendelea zaidi app development.
Lakini jana mida ya saa 10 nikaamua ngoja nianze kujifunza web dev for fun, nikaanza na HTML na CSS mpaka mida ya saa 7 usiku hivi nikapiga usingizi, kusema ukweli it's was fun na leo asubuhi nikatengeneza simple clone ya jamiiforums.

Picha hii hapa

Actually nilianza hivi wakati naanza kupractice.


Alafu baada ya kuhangaika kwa dk kadhaa nikaja hapa.


Baada ya kupractice na kukutana na fake errors sababu kuna wakati unasahau kusave na kila ukireload page hakutokei mabadiliko kumbe sababu ni kusahau tu kusave progress.
Nikafikia hapa.



Baada ya tries and errors za hapa na pale nikafikia hapa.


Nikapumzika jana na leo mida ya jioni nikatengeza my first simple web page.


Nyie mmefikia wapi wakuu?
 
nenda You tube, telegram channel kibao zipo
 
Hamtofika mbali trust me. We chukua tutorials ,tafuta online communities , fanya mazoezi ya kutosha,kuwa consistent. Mwisho wa siku utaweza ku connect dots.
Aina ya computer inayotakiwa ni ipi hasa
 
Sahihi
 
Leo mida ya jioni nimetengeneza simple webpage yangu kwa kutumia HTML na CSS kama sehemu ya kuendelea kujifunza for fun.
Nyie wakuu mmefikia wapi? wekeni kazi zenu humu tuone au haumko serious?

That's why nasemaga ni ngumu kufanya kazi pamoja au kushirikiana na watanzania and that's why I always fly solo.

 
So nimecheck how much inacost to design a website front end nimeona inaanzia usd 1000 to usd 7000 ni sawa na kusema 2 million tsh mpaka 14 million tsh per project.
Nilkuwa najifunza for fun lakini baada ya kuona hiyo taarifa now nadhani I should get more serious.

Nyie jamaa na group lenu mmefikia wapi au group limekufa?
Leo nimeimodify kidogo now it's looking way better.
To be honest if it was a girl I would've call it thicker than a bowl of oatmeal.

 
Washajikataa umebaki wewe sio😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…