Nahitaji watu wawili au watatu tuunganishe nguvu ya kujifunza app/web development

Hatuna show off mkuu watu niliokuwa nahitaji nimepata na ofisi tumepanga kazi inaendelea sikusema Mimi nahitaji lundo la watu rudia heading uelewe
 
Hatuna show off mkuu watu niliokuwa nahitaji nimepata na ofisi tumepanga kazi inaendelea sikusema Mimi nahitaji lundo la watu rudia heading uelewe
Bila kujionesha uwezo wako basi tegemea mafanikio uyasikie kwa jirani.
Kama mnachotaka kufanya ni business basi ni lazima ujioneshe na usiogope challenges au itakuwa kazi bure tu na kupoteza muda sababu hiyo ndio maana ya business.
Unless unafanya for fun like I was.

Critics, Challenges and Show off itakupa ukweli kwamba unachofanya ni something better au unajiongopea mwenyewe na itakuboost to be more productive and to push the boundaries, even elon musk alisema hivi kwenye kitabu chake.
Nachofanya mimi nilitaka nione mlipo ili niprove kufanya kazi solo na group nani anaenda faster na nani atakuwa more focused and productive, ila kwakua mnaogopa Critics, Challenges na Show off basi inaonesha hamna uhakika wala kujiamini na mimi nipo sahihi kwamba Solo is way much faster and more productive.

Bytheway I never wanted to be in your group if it's about groups then I should've started my own group and me be the leader and not otherwise.
But no I just wanted to prove my hypothesis, its proved.
No offense wala panic lakini hapa ndio mwanzo na uhalisia wa business ulivyo especially kama unataka kuanzisha company, so good luck.
 
Solo is better for small project, lakini linapokuja swal la project kubwa basi team inafaa zaidi.
 
Wacha ikae hivo
 
Solo is better for small project, lakini linapokuja swal la project kubwa basi team inafaa zaidi.
Yeah, lakini team inahitaji real enthusiasts na enthusiasm ni kitu ambacho hakiexist miongoni mwa watanzania wengi.
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia na ndio maana ni ngumu kukuta projects kubwa tanzania.
 
Nilivyoelewa uzi ni group la kujifunza sio kampuni ya kuunda software. Mkuu issue ya kampuni hamuwezi okotana from no where bila kujua uwezo wa kila mtu.
Mnaweza jikuta wote form failure mmeanzisha group sidhani kama linaweza kuwa successive.
Binafsi nikianzisha group naweka vigezo vigumu ili kuchuja maamuma wasio na uwezo na uelewa wa mambo mbali mbali ila wana ari tu ya kujifunza coding.
Code is one side na business ni another side na vyoye vinahitaji watu wenye talent na iq tofauti.
Nolichojifunza kwenye hii industry kuandika code ni kaeneo kadogo sana ktk bahari ya software industry.
Watu wengi sana duniani wanajua coding ila hawajui biashara yenyewe inafanywaje, hivyo basi ni vizuri pia kujifunza how the industry is run.
 
<html> <head> <title>Coding ni kucode</title> </head> <body> <p id="dushe"></p> <button value="gusa" onclick="onesha()"> <script> function onesha(){ document.getElementById(dushe).innerHTML="naomba anaejua kukode vizuri anipige msasa"; } </script> </body> </html>
 
Code:
section .data
    pagumu:     db 'msaada uliupata boss!',10   
    tzyacodeLen:  equ $-pagumu             

section .text
    global _start

_start:
    mov eax,4           
    mov ebx,1           
    mov ecx,pagumu       
    mov edx,tzyacodeLen     
                        
    int 80h             
    mov eax,1           
    mov ebx,0         
    int 80h;
 
Niko dar uko maeneo gan tuji organize ndugu
 
Wewe ñdo kilaza. Unataka kujua nn kuhusu Tanzania, sio Kila kitú ujue
 
Kaka umefikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…