scopic sniper
Member
- Oct 18, 2018
- 56
- 55
Mmh Mbona hujaeeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanda za juu kusini? Mkoa gani ? Maana kuna mikoa mingi kwenye kanda hiyo ikiwemo mbeya,iringa,njombe,ruvuma,rukwa,katavi na songwetunanunua sehemu Moja na kuuza sehemu nyingine ila tunaipandisha thamani île bidhaa,nipo nyanda za juu kusini
hapana kuzuia mvuaCanter Iliyozibwa Juu? Mzee Baba Unasafirisha Bangi Au Korosho Za magendo
ndio maana nimeruhusu maswaliPesa ipo tatizo hujadadavua vzuri alafu umanifu ni kikwazo
nashukuru umenielewa hicho kitu ndio wengi hawaelewiSasa watu wanataka aweke wazi kilakitu itakuwa ides yake tena au idea ya jamii.
iringa ...karibu pmNyanda za juu kusini? Mkoa gani ? Maana kuna mikoa mingi kwenye kanda hiyo ikiwemo mbeya,iringa,njombe,ruvuma,rukwa,katavi na songwe
Unaweza kuja PM na mchanganuo kuhusu hiyo biashara,kama itaweleweka basi tutafanya karibu pesa siyo shIda
Mikataba itahusika na pia ressearch kabla ya biashara kuanza tutafanya kujiridhisha
uko wapi mi nipo iringa niko tayari anytimeNiko tayari. Tuonane hata leo tuongee
Huna ndugu au marafiki ktk real world ushee nao mpoge hela huko kimyakimya ?nawezaje create group umu ndan naitaj share idea na watu on how to make money only.
Huna ndugu au marafiki ktk real world ushee nao mpoge hela huko kimyakimya ?
Well, well, well, go on.The way u reply!!!! No sense.
idea nzurinawezaje create group umu ndan naitaj share idea na watu on how to make money only.
hapanaSiyo mirundi hiyo mkuu?
nashukuru mkuu mimi pia nko makini na hilo staki kutoa idea ovyoovyo nahitaji watu smart wenye kiu ya mafanikio na imani ntafanikisha.ahsante kwa ushauri mkuu The MonkMetakelfin ulishawahi kuleta uzi unahitaji msaada ulikua na dharura, na kweli baada ya kufanikisha ulileta mrejesho. Kwa hilo, kidogo niliona una ukweli kiasi flani.
Tukirudi kwenye uzi huu. Hapa wapo watakaokejeli, wapo walio serious lakini pia lipo kundi la wahuni hawatakubali kukaa kimya hata kama hawana mpango na hii biashara.
Wanaomaanisha watakufuata PM, linda wazo lako usije kujuta.