Nahitaji watu wawili tushirikiane kuvuna pesa hizi

tunanunua sehemu Moja na kuuza sehemu nyingine ila tunaipandisha thamani île bidhaa,nipo nyanda za juu kusini
Nyanda za juu kusini? Mkoa gani ? Maana kuna mikoa mingi kwenye kanda hiyo ikiwemo mbeya,iringa,njombe,ruvuma,rukwa,katavi na songwe

Unaweza kuja PM na mchanganuo kuhusu hiyo biashara,kama itaweleweka basi tutafanya karibu pesa siyo shIda
Mikataba itahusika na pia ressearch kabla ya biashara kuanza tutafanya kujiridhisha
 
UWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO, Hakuna tajiri asiepigwa(kutapeliwa), hakuna shujaa asieanguka.
 
Nyanda za juu kusini? Mkoa gani ? Maana kuna mikoa mingi kwenye kanda hiyo ikiwemo mbeya,iringa,njombe,ruvuma,rukwa,katavi na songwe

Unaweza kuja PM na mchanganuo kuhusu hiyo biashara,kama itaweleweka basi tutafanya karibu pesa siyo shIda
Mikataba itahusika na pia ressearch kabla ya biashara kuanza tutafanya kujiridhisha
iringa ...karibu pm
 
nawezaje create group umu ndan naitaj share idea na watu on how to make money only.
 
Metakelfin ulishawahi kuleta uzi unahitaji msaada ulikua na dharura, na kweli baada ya kufanikisha ulileta mrejesho. Kwa hilo, kidogo niliona una ukweli kiasi flani.

Tukirudi kwenye uzi huu. Hapa wapo watakaokejeli, wapo walio serious lakini pia lipo kundi la wahuni hawatakubali kukaa kimya hata kama hawana mpango na hii biashara.

Wanaomaanisha watakufuata PM, linda wazo lako usije kujuta.
 
nashukuru mkuu mimi pia nko makini na hilo staki kutoa idea ovyoovyo nahitaji watu smart wenye kiu ya mafanikio na imani ntafanikisha.ahsante kwa ushauri mkuu The Monk
 
Back
Top Bottom