Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Bonge la wazo, be blessed mkuuWeka maji ya kunywa ya chupa kubwa zile za lita 18
Mwenye jengo yuko humu ,akilona geti lake vp 😂😂😂Ombi lako ninzuri sana lakini binafsi nashindwa kuchangia maoni yangu kwakua picha halisi ya eneo la n'je ya jumba lakifahari siioni.
Hivo nahofia kama ntakupa ushauli wagenge wakati hapo wamejaa mapedeshee wanyonga tai na mafriji makubwa ndani mwao.
So,ngoja waje wadau kuchanga karata.
Imekaa poa sanaNunua kuku wa mayai fuga baada ya mwezi huchezi mbali na Modewji
Hata hilo linafaa ndugu hawawezi kosa cha kununua.Ombi lako ninzuri sana lakini binafsi nashindwa kuchangia maoni yangu kwakua picha halisi ya eneo la n'je ya jumba lakifahari siioni.
Hivo nahofia kama ntakupa ushauli wagenge wakati hapo wamejaa mapedeshee wanyonga tai na mafriji makubwa ndani mwao.
So,ngoja waje wadau kuchanga karata.
Wazo limeambatana na furaha 🤣🤣🤣👍Fungua shoe shine na shoe repair na kuosha viatu. Ma don watavileta na kuviacha.
At the same time unaweka hyo maji.
Miez 3 baadae unaweka genge kali la kuuza matunda na mboga za anasa kama vile ma "epo" na mabrokoli sijui yale..
Unaongeza na bango la "ushauri wa afya na kisukari na presha bure"
Mende kwenye nyumba za maafisa?, ni wazo piaUza sumu ya pacha,mende na kungunguni Usi sahau dawa ya utangotango na mapunye
Naweza pata grape seed oil?Njoo nikutengenezee hati tuuze hiyo nyumba
Unataka unrefined? Ya Tz or UAE?Naweza pata grape seed oil?
uza mayai ya kukaanga ila usiwe na tamaaSalaam
Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston.
Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe
Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi
Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu
Asanteni na Karibuni kwa mawazo