Nahitaji website kwa 100k

100k [emoji15] basi sawa
[emoji3][emoji3][emoji3] people are so funny.

But sio kosa lake. Kuna mzee aliwahi niuliza kijijini eti kijana hivi nikiuza kashamba kangu kale nikapata laki 8 siwezi pata kagari kazuri kama haka kako. Afu imagine hapo kakuona na Forester SJ5 nilicheka sana kimoyo moyo [emoji3][emoji3][emoji3]

Sometimes watu wanakuwa hawajui wanachokiongea kina garama gani so wanatamka bei wanazodhania.
 
Muelimishe sasa mkuu,

Labda kiasi anachotoa ni kidogo na kwanini nikidogo? Labda Mahitaji ya kuandaa kazi yanagharimu pesa nyingi n.k

Au Mpe bei iliyopo sokoni ili akajipange vizuri.
 
Muelimishe sasa mkuu,

Labda kiasi anachotoa ni kidogo na kwanini nikidogo? Labda Mahitaji ya kuandaa kazi yanagharimu pesa nyingi n.k

Au Mpe bei iliyopo sokoni ili akajipange vizuri.
Hi Google, what is the minimum cost of a simple website?

Okay, it depends but may range from few hundred dollars to multiple thousands.

Sure kuelimishana muhimu ila kwa usawa huu jamani kweli kuna anaeweza kuzania kuwa kuna website ya 100k? Seriously? Tukuwe serious guys. Tena dynamic website mana anataka apost media na apokee reviews.

Nimshauri atumie google kufanya research.
 
Kuna siku nilitafuta mtu wa kutengeneza website humu, nikavutiwa na wawili nikawapa requirements zangu, mmoja alinitumia quotation ya 350,000/=. Huyu mwingine alitaka 2.5m, hii ni tofauti kubwa sana. Baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia kazi zao nikafanya kazi na huyu wa pili alinipunguzua mpaka 2.2m na ikawa kazi nzuri zaidi ya matarajio yetu. Ndio najiuliza kama sikulizishwa na kazi inayofanywa na mtu anayecharge 350,000/= huyu wa 100,000/= itakuwaje?
 
Jamaa anatafuta kutapeliwa tu hakuna website ya laki.
 
hosting/year & domain/year anafanya nani, maana hiyo pesa inaishia hapo nadhani haitoshi pia.

sasa tuje kutengeneza website complete iwe wordpress au scratched itagharimu shingapi ?

kwa hii budget


tafuta odd 7 tupia hiyo hela then nitafute ukija njoo na pesa ya ukuanzia kabla hatuajenda mbele huwa ni robo ya pesa nayokutajia.

ndo tunaanza kazi

 
Odd kwamba akaweke kwenye mkeka laki ikitema akucheki sio? Au sijaelewa?
 
Tuheshimu taaluma za watu wakuu, ni bora kutokutaja bei ila ukaweka hitaji lako la website wadau wakakupa taratibu zao.

Ni sawa na mtu anakuja na mkataba wa mkopo anataka umgongee mhuri kwa 10k
Afu uwe na harusi umuite asimamie na kuhakikisha upatikanaji wa video na photos nzuri za shuhuli nzima umwambie nna laki uone. Sio poa kabisa kutoheshimu kazi za watu.
 
Huyo wa 100k anakufungulia akaunti za mitandao ya kijamii then anasepa
 
Ndio manake.

kwa bongo unashika pesa mpaka nimalize kazi alafu namaliza unaanza story za hapa na pale.

hello devs: kuleni machungwa sana luliko tunda ingine yeyote
Mkuu sinaga hizo..
Wako watu wananifaham,watashuudi hilo..

Uaminifu ni muhimu sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…