Nahitaji website kwa 100k

Nahitaji website kwa 100k

Sio ngumu kama mnavyonadi..
Inahitaji muda tu wa kutosha kujifunza..
Kila kitu kipo you-tube.
Hakuna ugumu wowote

Adobe Dreamweaver.View attachment 2548115
Hakuna kitu kigumu kila kitu ni muda tu wa kujifunza.

Hapo kwenye muda wa kujifunza, ndio watu wanalipwa baada ya kupata skills baada ya muda wa kutosha wa kujifunza.
 
Kwema?

Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.

Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.

Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.

Kama inafaa njoo tufanye biashara.

Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.

ni PM
 
Template iko pixieset..
Unafanya mwenyewe kabisa..
Hapa nimeshaigusa gusa sema nimekua mvivu kwenye kuchagua picha...
Soon naimaliza
 
Pitia hio link
Kuna template rahisi sana ni kufanya setup tu..
Gharama ni bundle tu..kama huna wi-fi unaweza choma hata 50k..na sio kazi ya siku 2
 
Naona watu wanabeza hapa 100k sio pesa ndogo kihivyo.

Fivver kuna wahindi wamepigika huko na wapo nondo vizuri kwa 100k unapata unachotaka bila shida 😂
 
Hapo sasa kwa sababu bajeti yako ndogo inapigwa hivi:

Domain ya .co.tz elf 25,000
Imebak 75k

Kama ni domain ya .com inasajiliwa kwa offer ya Godady unapata kwa dolar 1.99 kwa mwaka wa kwanza huko mbele utajua mwenyew.

Naingia blogger nacreate new blog. Kumbuka blogger ni free yan unapandisha content tu


Naingia Goyabi Templates au Sora Templates natafuta Template ya bure ambayo inahusu Photograph portifolios (zipo nying).

Naanza kucuistomize inakaa poa, mind you kuna baadh ya free templates chin hatutaweza kuweka custom footer, itakuwepo footer credit ya aliyedesign template.

Naiconnect domain na blogger mambo yanakaa hewan unaanza kazi.
 
Youtube kuna mjamaa ana video ana rate watu wa fiver, upwork etc. Wa bei tofauit tofuit from cheapest to highest. Anawapa the same project na baadae anaonesha results za kila mtu. Ungeona utumbo wa hao watu wa $25 utafurah mwenyewe
0766147466
 
Muelimishe sasa mkuu,

Labda kiasi anachotoa ni kidogo na kwanini nikidogo? Labda Mahitaji ya kuandaa kazi yanagharimu pesa nyingi n.k

Au Mpe bei iliyopo sokoni ili akajipange vizuri.
Nakazia, huenda hajui mahitaji yake ndo maana ame quote 100k
 
Back
Top Bottom