DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Hakuna kitu kigumu kila kitu ni muda tu wa kujifunza.Sio ngumu kama mnavyonadi..
Inahitaji muda tu wa kutosha kujifunza..
Kila kitu kipo you-tube.
Hakuna ugumu wowote
Adobe Dreamweaver.View attachment 2548115
Hapo kwenye muda wa kujifunza, ndio watu wanalipwa baada ya kupata skills baada ya muda wa kutosha wa kujifunza.