Kaka Mb's kwangu sio tatizo,
You tube zinakua downloaded, so nasonga nayo mdogo mdogo ambapo sijaelewa narudisha nyuma..
Kama ni taaluma zenu hata mimi inaweza kuwa taaluma yangu..ni muda tu wa kujifunza.
Na nimekua interested nataka kujua vyema.
Vitu vingi mkuu nimejifunzia You tube,
Photographer(retouching,adobe light room,adobe photoshop..camera settings, gears,lightings e.t.c)sikuwahi kufundishwa darasani,
Hata hii haiwezi kunishinda,ni muda tu..
Unaona ni ngumu kwako sababu wabongo wengi hatuna mazoea ya kujitafutia maarifa mpaka tukae darasani..lakini sio mimi.
Asili yetu watu weusi ni kukatishana tamaa na wivu wa kutokutaka kuona mwingine anafanikiwa.
Mfano hata hiyo 100k ikiishia kwenye bundle kuna ubaya gani nikiwa nimepata knowledge?