Nahitaji website kwa 100k

Nahitaji website kwa 100k

Wasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu
Yaani simple hivi? umesoma vizuri thread? ni mtu gani atakupa space ya kutosha kuhost website yenye kuhifadhi content za graphics kama picha au video kwa $17, na mara nyingi hizi host huwa ni mwanzoni wanakupa offer tu, je vipi atapata support kwa hiyo $26 in case yataenda mrama?
 
Kaka Mb's kwangu sio tatizo,
You tube zinakua downloaded, so nasonga nayo mdogo mdogo ambapo sijaelewa narudisha nyuma..
Kama ni taaluma zenu hata mimi inaweza kuwa taaluma yangu..ni muda tu wa kujifunza.
Na nimekua interested nataka kujua vyema.

Vitu vingi mkuu nimejifunzia You tube,
Photographer(retouching,adobe light room,adobe photoshop..camera settings, gears,lightings e.t.c)sikuwahi kufundishwa darasani,
Hata hii haiwezi kunishinda,ni muda tu..
Unaona ni ngumu kwako sababu wabongo wengi hatuna mazoea ya kujitafutia maarifa mpaka tukae darasani..lakini sio mimi.

Asili yetu watu weusi ni kukatishana tamaa na wivu wa kutokutaka kuona mwingine anafanikiwa.

Mfano hata hiyo 100k ikiishia kwenye bundle kuna ubaya gani nikiwa nimepata knowledge?
kila la kheri mkuu
 
Ni vizuri umeamua kujifunza. No doubt utapata kujionea mda waliowekeza na vikwazo walivyopitia kujifunza web development hao unaotaka uwalipe 100k
 
Sure, sio ngumu sema inataka muda na utulivu wa hali ya juu.
 
Fanya hivi kabla hujatoa hii kazi
1. Nunua domain uwe nayo kabisa
2. Lipia hosting uwe nayo kabisa
3. Tengeneza logo uwe nayo kabisa

Halafu ndio sema nina vyote hapo juu nataka website kwa laki. Hapo utakuwa kidogo umeeleweka
 
Wasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu

Youtube kuna mjamaa ana video ana rate watu wa fiver, upwork etc. Wa bei tofauit tofuit from cheapest to highest. Anawapa the same project na baadae anaonesha results za kila mtu. Ungeona utumbo wa hao watu wa $25 utafurah mwenyewe
 
Unaweza Tengeneza website kwenye Blogger pia,

Na Requirement ya jamaa ni Blog kama umesoma anachotaka, yeye ni photographer, anapiga picha za harusi, ina maana kila harusi atakua na picha mpya na couples wapya atakazo upload, means page mpya. blog hapa inamfaa zaidi.
Mkuu kama mm Beginner, nahitaji kujua kutengeneza website from scratch wapi ntaweza kupata material mazuri nikasoma na kuelewa. Kama YouTube nk
 
Website za mamilioni zipo mkuu kama unapata Developer mzuri na Requirement zako zinatumia resource husika. Otherwise hizi za kina wordpress zaidi ya milioni ikifika labda uwe na Traffic kubwa na Plugins/content nyengine za bei.
Hivi hizo website za WordPress zinaweza kutengeneza kama ecomerce kabisa mtu ananunua au anadeposit hela na inasoma kwenye website??
 
Frontend ndio, ila inabidi uwe na Api ama namna ya kupokea hizo hela, huku kwetu mara nyingi wanatumia custom Api, niliwahi sikia Selcom, Pesapi na wengineo inabidi u integrate na hio website yako ya WordPress. Kazi kama hii utahitaji developer mzoefu.
 
Duuh kumbe simple hiyo.

Me ilibidi niingie chimbo saizi nakomaa na ma php na mysql ili niweze kudevelop website yenye macomplex integrations
 
Kujifunza zaidi ni bora mkuu, si mbaya ukiwa na basic za Php na Mysql sababu baadhi ya vitu vinataka kutengeneza database ama ku modify code hapa na pale hata kama ni pre made kama hizo WordPress.
 
Mkuu kama mm Beginner, nahitaji kujua kutengeneza website from scratch wapi ntaweza kupata material mazuri nikasoma na kuelewa. Kama YouTube nk
udemy, Lynda na website zifananiazo kuna tutorial za maana, Sema ni za kulipia,

Hizo hizo tutorial unazipata Pia Torrent za kuchakachua.

YouTube unapata pia, Sema YouTube kila mtu Ana post inabidi uhangaike sana kupata quality material.
 
Back
Top Bottom