Gelion Kayombo
Senior Member
- Feb 17, 2018
- 149
- 199
Mkuu unadhani hiyo website ya $26 na domain ya 40k ni website nzuri? Acha kumpotosha mwenzako. Kama anataka website nzuri aandae zaidi ya 500k siyo chini ya hapo. Pia acha kucheza na taaluma za watu basi.Wasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu
Anasikitisha sana huyu.100k [emoji15] basi sawa
Vijana wa humu ni wezi sana, website ya 2.2 M bongo? Acheni ujinga mtaendelea kufaa njaaWasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu
Siyo wezi mkuu. Hivi unajua maana ya website wewe? Wewe Google mtandaoni uone website ina gharimu shilingi ngapi. Milioni mbili ndogo sana kwa ajili ya kutengenezewa website nzuri.Vijana wa humu ni wezi sana, website ya 2.2 M bongo? Acheni ujinga mtaendelea kufaa njaa
Ni kweli mkuu. Ila siyo rahisi kiasi hicho. Hiyo website unayosema wewe inategemea inakuwa na vitu gani.Kuna jamaa humu anatengeneza website nzuri kabisa kwa 150K hadi 200K, tafuta matangazo ya vijana wanaotengeneza websites humu utampata
Unajua watu hawajaelewa,nataka website ya kawaida sana...lengo ni kuweka portfolio na sehemu ya reviews za wateja wangu...Wasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu
Kwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.
Achana na mambo ya ku google utapewa majibu ya wazungu mpuuzi wewe, unadhani website ni "dubwana" la ajabu sanaSiyo wezi mkuu. Hivi unajua maana ya website wewe? Wewe Google mtandaoni uone website ina gharimu shilingi ngapi. Milioni mbili ndogo sana kwa ajili ya kutengenezewa website nzuri.
🤣🤣🤣Huyo wa 100k anakufungulia akaunti za mitandao ya kijamii then anasepa
Website ndiyo ni dubwana la ajabu sana. Acha na website za kucustomize tu kwa kutumia WordPress au Wix. Nazungumzia website za kudevelop from the scratch wewe mwenyeweAchana na mambo ya ku google utapewa majibu ya wazungu mpuuzi wewe, unadhani website ni "dubwana" la ajabu sana
Au sio 😀 tena huko upwork kuna wapigaji balaa! Akalizwe hiyo laki yake bure akapatiwa facebook page 😀Wasikutishe mkuu nenda upwork kuna developer mpaka wa $26 hodting&Domaini ni 40k tena unapata domain ys .co.tz binafsi nilianza blogger na kumiliki blog kwa buku 2 tu
Wewe ndiye mpuuzi. Wewe unadhani website za kutumia ready made themes na plugins? Hapa tunazungumzia website hasa.Achana na mambo ya ku google utapewa majibu ya wazungu mpuuzi wewe, unadhani website ni "dubwana" la ajabu sana
2.2 ndogo sana! Website za taasisi na kampuni kubwa si chini ya 12MVijana wa humu ni wezi sana, website ya 2.2 M bongo? Acheni ujinga mtaendelea kufaa njaa
Customized hiyo! na baada ya muda inafungwa anakuja kudai hosting payment! Vitu vingine muwe mnaulizaKuna jamaa humu anatengeneza website nzuri kabisa kwa 150K hadi 200K, tafuta matangazo ya vijana wanaotengeneza websites humu utampata
Akifuata ushauri wako ataishia kujilaumu bure na kula hasara. Website ni zaidi ya kutengeneza. Kuna kuhakikisha website unaweka SEO nzuri ili iwe kwenye rank za juu Google. Acha kupotosha watuWanaotengeneza hizo websites ni vijana wa humu humu nchini, hawatoki mbinguni. Ndugu search humu kuna threads za vijana wanatengeneza hadi kwa NUSU YA HIYO BEI YAKO