Nahitajii mtu wa kunishika mkono niweze kupata kazi

Nahitajii mtu wa kunishika mkono niweze kupata kazi

Brightly

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
391
Reaction score
623
Habarii wakuu,

Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC).

Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata, nimekuja kwenuu ndugu zangu Watanzania ambaye ana uwezo wa kunisaidia nikapata kazi nitamshukuru sana na Mungu atambarikii.
 
Zunguka site omba uwe saidia fundi upate uzoefu. Engineering is about skills and experience sio good GPA. Hapa JF utaambulia maneno mazuri msaada sio rahisi.
 
Mungu akutangulie mkuu.vp intern/kaz ujajaribu kuomba sehem mbalmbali.
 
Back
Top Bottom