Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

Utoe mayai Iringa hadi Dar utaweza compete na wanal zalishia Dar?

Kama target yako ni soko la Dar basi kawafugie huko Kinaha au ikiwa mbali sana basi Chalinze. Iringa ni mbali sana transport coast itakusumbua.
Soko ni kubwa sana mkuu.Nashukuru kwa mchango wako.Cjafanikiwa tu kuattach doc inayoonyesha demand ya mayai kwa Dar pekee yake.Nitafanya hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoe mayai Iringa hadi Dar utaweza compete na wanal zalishia Dar?

Kama target yako ni soko la Dar basi kawafugie huko Kinaha au ikiwa mbali sana basi Chalinze. Iringa ni mbali sana transport coast itakusumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu target ni kufuga kuku wa mayai zaidi ya elfu 10.Nikifikia lengo hilo soko la Iringa pekee halitatosha kukidhi idadi hiyo ya mayai ndo maana nimetarget soko la Dar pia.Kuhusu cost ya usafiri itakuwa compensated na idadi kubwa ya mayai yatakayouzwa Dar
 
Dar mayai sh7000 trei
Ni sawa mkuu.Nimeweka the lowest price nikijua kuna kipindi mayai bei inakuwa juu na wakati mwingine yanakuwa chini.Ahsante kwa mchango wako pia
 
Mkuu usha calculate Market Share? Iringa wana Consume mayai kiasi gani? Kuna wafugaji wangapi wa layers kwa Iringa? Lazima ujue wewe utakuwa na share kiasi gani.
Mkuu target ni kufuga kuku wa mayai zaidi ya elfu 10.Nikifikia lengo hilo soko la Iringa pekee halitatosha kukidhi idadi hiyo ya mayai ndo maana nimetarget soko la Dar pia.Kuhusu cost ya usafiri itakuwa compensated na idadi kubwa ya mayai yatakayouzwa Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usha calculate Market Share? Iringa wana Consume mayai kiasi gani? Kuna wafugaji wangapi wa layers kwa Iringa? Lazima ujue wewe utakuwa na share kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafaham soko la Iringa mkuu kwani nimeuza sana mayai na najua demand bado ni kubwa sana hasa kwa miezi ya baridi.Sijajua kuna wafugaji wangapi wa layers ila soko la mayai ndo ninauzoefu nalo
 
Back
Top Bottom