CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Soko ni kubwa sana mkuu.Nashukuru kwa mchango wako.Cjafanikiwa tu kuattach doc inayoonyesha demand ya mayai kwa Dar pekee yake.Nitafanya hivo
Waongo Sana waleHahahahah, Mimi ongezea Ma Inspirational speakers., Wale nilianza mgahawa kwa mtaji wa 5000, now Nina migahawa miwili Posta na Masaki na nataka kufungua mwingine Nairobi..., Very funny [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa hapa keko anauza tray 5500 yeye sijui anayapata wapiDar mayai sh7000 trei
Mkuu target ni kufuga kuku wa mayai zaidi ya elfu 10.Nikifikia lengo hilo soko la Iringa pekee halitatosha kukidhi idadi hiyo ya mayai ndo maana nimetarget soko la Dar pia.Kuhusu cost ya usafiri itakuwa compensated na idadi kubwa ya mayai yatakayouzwa DarUtoe mayai Iringa hadi Dar utaweza compete na wanal zalishia Dar?
Kama target yako ni soko la Dar basi kawafugie huko Kinaha au ikiwa mbali sana basi Chalinze. Iringa ni mbali sana transport coast itakusumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe Mungu mkuu,tukifanikisha adhima yetu waweza kufikiriwaMkuu naweza, ila naweza kuwa your labour manager kuangalia na kuzisimamia na kuandaa kila ktu so kama tunaweza kufanya kazi niite then mm si itaji salary but me natka share after project profit
Tywasliane through 0718247409
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu target ni kufuga kuku wa mayai zaidi ya elfu 10.Nikifikia lengo hilo soko la Iringa pekee halitatosha kukidhi idadi hiyo ya mayai ndo maana nimetarget soko la Dar pia.Kuhusu cost ya usafiri itakuwa compensated na idadi kubwa ya mayai yatakayouzwa Dar
Nafaham soko la Iringa mkuu kwani nimeuza sana mayai na najua demand bado ni kubwa sana hasa kwa miezi ya baridi.Sijajua kuna wafugaji wangapi wa layers ila soko la mayai ndo ninauzoefu naloMkuu usha calculate Market Share? Iringa wana Consume mayai kiasi gani? Kuna wafugaji wangapi wa layers kwa Iringa? Lazima ujue wewe utakuwa na share kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app