Naibu Katibu Mkuu akabidhi wananchi hatimiliki Dodoma

Naibu Katibu Mkuu akabidhi wananchi hatimiliki Dodoma

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165
View attachment 3678293

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani humo.

Kliniki hiyo ilianza tarehe 22 Septemba na inatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 03 Oktoba, 2026.

Hati hizo zinatolewa kwa wananchi kwenye kliniki hiyo ni uthibitisho kuwa Mfumo wa Kidijiti wa e-Ardhi unafanya kazi kwa mafanikio makubwa na ufanisi wa hali ya juu.

Mfumo huo umesaidia kuondoa urasimu, kuongeza uwazi na kuharakisha mchakato mzima wa utoaji wa hati miliki.

Wizara inawasisitiza wananchi wote mikoa yote nchini kujitokeza kwa wingi katika Kliniki hiyo ya Ardhi ili kupata huduma mbalimbali, kutatuliwa kero zao na kupata Hatimiliki za maeneo yao.
 
Back
Top Bottom