Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

 
 
Kwakweli inasikitisha pale tunapokuwa hatuna info ya uhakika ku-counter chanzo cha habari cha mwingine lakini juu ya kutokuwa na info ya uhakika bado unadiriki kumkashifu mleta taarifa ambaye pamoja na kuleta taarifa bado ameahidi kuleta taarifa zaidi.

Jamani tuwe waungwana,kama mtu una ugomvi binafsi na mtu kwasababu yoyote ile haitoshi kumshambulia bila sababu yoyote katika post yake. Naona hii iko too personal.Tuacheni jamani mambo yanayofanana na ''utoto''.

Pole mkuu FMES,naheshimu sana michango yako mkuu! naomba usiyumbishwe mkulu I for one nauhitaji sana mchango wako hapa JF.
 
FMES,
Shukrani kwa taarifa hizi za vikao nyeti vya CCM. Kubali pia kwamba wapo wanaokuchokonoa tu ili umwage taarifa zaidi. Ni kweli pia yapo mengine unayakosea au unakuwa hauyafahamu vizuri. Tuendelee kuhabarishana na kufahamishana bila ya yeyote humu JF kudhani kwamba bila yeye hili au lile lisingefahamika. Hapa JF ni suala la muda tu ndilo tunalotofautiana sambamba na ujasiri.
 
FMES,
Huna sababu ya kuwakasirikia watu ambao kwao ufisadi unawanufaisha, kwao maisha yao hayawezi kuwepo kama mirija ya Kifisadi itakatwa , hawawezi kusimama peke yao kama Ufisadi utaondolewa, wewe fanya kazi ya wananchi kwani hakuna anayekulipa hapa ila unafanya kwa sababu ya mapenzi yako kwa Taifa na watanzania.

swali ni kwanini huyu Izaack anakanusha?anataka kuwa kwa nguvu?
 
2. Ni kweli pia yapo mengine unayakosea au unakuwa hauyafahamu vizuri.

3. Tuendelee kuhabarishana na kufahamishana bila ya yeyote humu jf kudhani kwamba bila yeye hili au lile lisingefahamika.



- Mkuu wangu wildcard, ahsante kwa huu ushauri wako nimeusikia sana tena loud and clear, sina uhakika kama unahusiana na hii habari, lakini nimeusikia sana mkuu wangu na heshima mbele sana.


Thanxs!
 
 

Mkuu FMES;

Mie sio mzuri kulumbana. Kamati ya utekelezaji inayo mamlaka ya kumsimamisha Francis, lakini lazima ikubalike kwenye ngazi za juu. Hivyo basi anaweza kurudi tu labda wamjengee zengwe.

Mimi huwa nasubiri maamuzi ya kuthibitisha hilo na kulifanya azimio hilo liwe la kudumu. Ndipo nasema kasimamishwa. Kumbuka ya Nnauye Nape. Ndivyo nilivyolichukulia.

Ukisoma ndani ya maandishi yangu sijakuita muongo au kukebehi maneno yako.

Poa tupo pamoja na si mashindano mkuu kama ulivyosema.

Ni tofauti za tafsiri tu. Na wala sihitaji kuomba msamaha nadhani.

Pamoja.
 
1.
Kidumu chama cha mapinduzi.

Francis hajasimamishwa wala kufukuzwa mpaka sasa hivi ninapoandika.

Habari ndio hiyo!

2.

3.

Mkuu Fairplayer

- Yote hapo ni maneno yako wewe mwenyewe, so it is up to you., Na binafsi nimeusikia huu utetezi wako uliobobea na ni very convincing. Bwa! ha! ha! ha!

Thanxs!
 
Last edited by a moderator:
- The sagga continues na more dataz

- Sasa the war ni kati ya Hussein Bache/Fransic Vs Beno/Ridhiwan. na mengi ya aibu yametokea leo.

- Sasa hivi kikao kinaendelea kati ya Masauni, Beno, na Ridhiwani. Soon kutakuwa na Pres. Conference.

- Kikwete anataka siku 14 kutaja katibu mkuu mpya.
 
Hivi huyu jamaa alikuwa na cheo gani?

a. Kaimu Katibu mkuu
b. Naibu Katibu Mkuu
c. Katibu Mkuu
d. Naibu Kaimu Katibu Mkuu wa Katibu Mkuu

????

?
 
Kaimu Katibu Mkuu nafikiri na pia kaimu naibu katibu mkuu,hivi katibu mkuu wao alienda wapi hilo ndiyo swali nililonalo! Kwasababu Amos Makala alikuwa Naibu Katibu mkuu kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu wa NEC Uchumi na Fedha (Mwekahazina wa Chama) nafasi yake ikachukuliwa na huyu Frank Isaack. lakini wakati huo huo Amos Makala alikuwa kaimu katibu mkuu kwahiyo kijana alibeba vyeo vyote viwili cha kaimu naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu.

Mtanisahihisha wakuu! lakini kuna watu wanachokonoa mambo duuuh! Heshima mbele mkuu Mwanakijiji.
 

Full kuchanganyana,full vurugu
 
Hivi huyu jamaa alikuwa na cheo gani?

a. Kaimu Katibu mkuu
b. Naibu Katibu Mkuu
c. Katibu Mkuu
d. Naibu Kaimu Katibu Mkuu wa Katibu Mkuu

????

?


- Alikuwa naibu katibu mkuu, kwa sababu kwa sasa UV-CCM hawana katibu mkuu, huyu bwana alikuwa akikaimu ukatibu mkuu, huku akitumia ofisi ya katibu mkuu.
 
- Alikuwa naibu katibu mkuu, kwa sababu kwa sasa UV-CCM hawana katibu mkuu, huyu bwana alikuwa akikaimu ukatibu mkuu, huku akitumia ofisi ya katibu mkuu.

Kama ndiyo hivyo (kwa sababu kwa sasa UV-CCM hawana katibu mkuu), basi alikuwa Kaimu Katibu Mkuu .... kaimu ni mtu anayekuwa madarakani wakati mwenye cheo hayupo; wakati Naibu huwa ni cheo kilichopo kwenye organization chart (kaimu hakipo).
 

Mkuu, thanks, but i think am more confused kwa huu ufafanuzi..hivi mbona wala sipaelewi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…