- Nimesema mara nyingi sana hapa kwamba hatuna mashindano, tunachojaribu kufanya hapa ni kuhabarishana na kuelmishana, sasa the changamoto kwangu hapa ni kama ni worthy kwangu kuchukua risks zote ninazochukua kuleta hizi dataz hapa, kwa kweli ninalipitia hili swali kwa makini sana kabla ya kuamua, I mean this is a war sio kuelemishana tena, swali kwangu ni is it worthy? Na do I want this? I mean hate me na all the stuff I love it, lakini sasa kufikia kuharibu habari muhimu kwa wananchi at large kwa sababu binafsi zako wewe mtu mmoja na wachache wengine, hilo limenitisha sana na nitalifanyia kazi kabla ya kuamua!, for real!
I mean nini maana ya shukrani ya Punda?