Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika.
1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation.
2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote kuanzia utungaji mpaka usahihishaji. Mazingira wanayosoma watahiniwa hayahusiani moja kwa moja na usahihishwaji wa mitihani. Kama ni hivyo basi kila shule iwe na mtihani wake au marking scheme yake. Ni kweli pia mtihani standard (wa NECTA) huwa unazingatia mazingira ya shule zote, hasa wakati wa usahihishaji.
This is the poorest decision to be made by NECTA since I was born.
NB: Kwa nini Dr. Msonde aliondolewa?