Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni na vitengo, wafanyakazi wote katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, ndugu, jamaa na marafiki. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema. Amina.
View attachment 2848365
View attachment 2848368
Pole sana familia ndugu jamaa ...naaikia walimu2ekea sumu mara tj kupata uteuzi....Mungu atamlipia hapa hapa alieweka sumu anajulikana uzirii hatapata ut3uziiii atabakia laana mileleImeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni na vitengo, wafanyakazi wote katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, ndugu, jamaa na marafiki. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema. Amina.
View attachment 2848365
View attachment 2848368
Dah, sumu?Pole sana familia ndugu jamaa ...naaikia walimu2ekea sumu mara tj kupata uteuzi....Mungu atamlipia hapa hapa alieweka sumu anajulikana uzirii hatapata ut3uziiii atabakia laana milele
Kufa sote tutakufa tu...ila system ikiamua inakuwahisha!mwenye habari kamili atuambie, huyu mtu amefia nini?
Sumu aulizwe yule aliemuekea mangula jamaa mlemavuuPole sana familia ndugu jamaa ...naaikia walimu2ekea sumu mara tj kupata uteuzi....Mungu atamlipia hapa hapa alieweka sumu anajulikana uzirii hatapata ut3uziiii atabakia laana milele
hilo suala msimung'unye maneno, tuambieni, ilikuwaje?Sumu aulizwe yule aliemuekea mangula jamaa mlemavuu