1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ni kweli kabisa.Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Hana lolote mbona alinyooshwa ila kina Mbowe wanadunda!!Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Acha utoto, billionea kma Mo anatekwa alafu unalinganisha na JK? Ina Mbowe walikua wanamkosoa JK na ufisadi wake wazi wazi ila sikuona wanapiga risasi au kuhukumiwa kifungo kama awamu ya 5. Msijaribu kumsafisha huyo shetani wenu kwa kisingizio Cha "hata JK naye Aliua".Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Na yeye yukowapi? Alidhania akiiba kura atatawala milele?JPM alikuwa havumilii upuuzi, ushindwe uchaguzi alafu unaanza kusumbua nchi, ni bakora tu 😂
Usilinganishe Kenya na Tanzania huku ni makondoo kama nyie mmejaa hamjui haki zenu. Kule ukishoot mtu mahakama Iko huru so Rais anaweza kuwa impeached na akafunguliwa murder case!!Napata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana
Cha moto kipi wakati Mbowe na Lissu wapo wanadunda alafu Hilo shetani lenu ndio limeona Cha moto!! Lipo kuzimu linatapatapa tu huku wajanja wanachekelea, Sasa hapo nani ndio kapoteza?Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
Kwani mamako naye Si yupo kuzimu?Cha moto kipi wakati Mbowe na Lissu wapo wanadunda alafu Hilo shetani lenu ndio limeona Cha moto!! Lipo kuzimu linatapatapa tu huku wajanja wanachekelea, Sasa hapo nani ndio kapoteza?
The end justifies the means.... Mandela na Nyerere walipitia mangapi ila hatuwakumbuki kwa matatizo waliyopitia Bali kwa mwisho wao wa kishujaa.
Huyo ibilisi wenu ndio kafa Sasa kivipi sisi ndio tumeona Cha moto?
Nonsensical!!
Hapana mama Yuko hai na baba wako hai ..... Wamevuka age ya uzee so hata siku wakiondoka ni wakati sahihi sio huyo ibilisi wenu kafa kabla ya wakati wake sababu ya vilio vya watu.
Mwisho wa siku yuko wapi sasa? Hiyo ni laana ya Mungu ilimpitia, huwezi kucheza na maisha ya watu hivi hivi Mungu akakuacha!Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Basi mungu angewaua kina Bush, Obama ambao wameua watu wengi huko Misri, Iraq, Afghanistan Libya nk ama hao sio watu wa mungu ni misukule mungu kuangalia wanaangamia?Mwisho wa siku yuko wapi sasa? Hiyo ni laana ya Mungu ilimpitia, huwezi kucheza na maisha ya watu hivi hivi Mungu akakuacha!
[emoji1787][emoji1787]He is dead for good
Acheke na kima wamzuie kukwapua 1.5 trilion?
Azuiwe kuficha pesa uchina?
Azuiwe kununua ndege chakavu kwa bei zaidi ya mpya?
MUNGU kamfyekelea mbali
Wakati wake wa kufa ilipaswa kuwa lini.?Hapana mama Yuko hai na baba wako hai ..... Wamevuka age ya uzee so hata siku wakiondoka ni wakati sahihi sio huyo ibilisi wenu kafa kabla ya wakati wake sababu ya vilio vya watu.
Mnamsifia humu kwamba sijui ni chuma sijui hapendi ujinga wakati kapigwa kamoja tu kafa mazima!! Are you serious?
Wap nmesema JK aliua.?Acha utoto, billionea kma Mo anatekwa alafu unalinganisha na JK? Ina Mbowe walikua wanamkosoa JK na ufisadi wake wazi wazi ila sikuona wanapiga risasi au kuhukumiwa kifungo kama awamu ya 5. Msijaribu kumsafisha huyo shetani wenu kwa kisingizio Cha "hata JK naye Aliua".
Utter nonsense.
Fear women; mwanamke amefanya wanaume walegee waimbe pambio zake, ila subiri tarehe za uchaguzi zifike, rangi zote zitaonekana. Sasa ni wakati wa pambio na vigelegele.Kazidiwa na mwanamke ambaye haogopi upinzani.
Wakenya siyo kama hawa maiti wanaotembea wq TZ huwezi minya haki zwatu Kenya kama kubomo nyumba za watu kimara kwa huyo mnaemwita Shuja siju wa nn? Kenya wakuchekeeShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Odinga siyo mbowe.Sijui kuna uzito gani unaowaelemea kiasi cha kushindwa kudeal na Odinga [emoji848]
Ni ujinga tu wanamuendekeza [emoji16]Odinga siyo mbowe.