Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Ni kweli kabisa.
Kwa ghilba walizonazo wazungu kutaka kuweka marais wanaowatumia kupora Rasilimali zetu ni Bora kuwakata shingo watu hata Milioni moja ili watu million 60 waishi kwa amani kuliko kucheka na kima halafu amani ya nchi itoweke kama Libya na Somalia.
 
Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Acha utoto, billionea kma Mo anatekwa alafu unalinganisha na JK? Ina Mbowe walikua wanamkosoa JK na ufisadi wake wazi wazi ila sikuona wanapiga risasi au kuhukumiwa kifungo kama awamu ya 5. Msijaribu kumsafisha huyo shetani wenu kwa kisingizio Cha "hata JK naye Aliua".

Utter nonsense.
 
Napata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana
Usilinganishe Kenya na Tanzania huku ni makondoo kama nyie mmejaa hamjui haki zenu. Kule ukishoot mtu mahakama Iko huru so Rais anaweza kuwa impeached na akafunguliwa murder case!!

Sasa huku maandamano ya Amani unapiga risasi Akwilina ya Nini? Kwani Kuna mali ilivunjwa? Mbona Lissu aliporejea huyo Jiwe alipotezea na hakuna madhara yalitokea?

Kuna wakati kutumia nguvu bila akili Haina faida no wonder walimdedisha kiulaini maana akili kichwani alikua Hana.
 
Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
Cha moto kipi wakati Mbowe na Lissu wapo wanadunda alafu Hilo shetani lenu ndio limeona Cha moto!! Lipo kuzimu linatapatapa tu huku wajanja wanachekelea, Sasa hapo nani ndio kapoteza?

The end justifies the means.... Mandela na Nyerere walipitia mangapi ila hatuwakumbuki kwa matatizo waliyopitia Bali kwa mwisho wao wa kishujaa.

Huyo ibilisi wenu ndio kafa Sasa kivipi sisi ndio tumeona Cha moto?

Nonsensical!!
 
Kwani mamako naye Si yupo kuzimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mamako naye Si yupo kuzimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mama Yuko hai na baba wako hai ..... Wamevuka age ya uzee so hata siku wakiondoka ni wakati sahihi sio huyo ibilisi wenu kafa kabla ya wakati wake sababu ya vilio vya watu.

Mnamsifia humu kwamba sijui ni chuma sijui hapendi ujinga wakati kapigwa kamoja tu kafa mazima!! Are you serious?
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Mwisho wa siku yuko wapi sasa? Hiyo ni laana ya Mungu ilimpitia, huwezi kucheza na maisha ya watu hivi hivi Mungu akakuacha!
 
Basi mungu angewaua kina Bush, Obama ambao wameua watu wengi huko Misri, Iraq, Afghanistan Libya nk ama hao sio watu wa mungu ni misukule mungu kuangalia wanaangamia?
 
Ruto anajua akifanya kama yule atafariki mapema mnooo.
Mwenzi anaongoza malaika saizi.
Mungu fundi bwana
 
Hapana mama Yuko hai na baba wako hai ..... Wamevuka age ya uzee so hata siku wakiondoka ni wakati sahihi sio huyo ibilisi wenu kafa kabla ya wakati wake sababu ya vilio vya watu.

Mnamsifia humu kwamba sijui ni chuma sijui hapendi ujinga wakati kapigwa kamoja tu kafa mazima!! Are you serious?
Wakati wake wa kufa ilipaswa kuwa lini.?
 
Acha utoto, billionea kma Mo anatekwa alafu unalinganisha na JK? Ina Mbowe walikua wanamkosoa JK na ufisadi wake wazi wazi ila sikuona wanapiga risasi au kuhukumiwa kifungo kama awamu ya 5. Msijaribu kumsafisha huyo shetani wenu kwa kisingizio Cha "hata JK naye Aliua".

Utter nonsense.
Wap nmesema JK aliua.?
 
Sijui kuna uzito gani unaowaelemea kiasi cha kushindwa kudeal na Odinga [emoji848]
 
Kazidiwa na mwanamke ambaye haogopi upinzani.
Fear women; mwanamke amefanya wanaume walegee waimbe pambio zake, ila subiri tarehe za uchaguzi zifike, rangi zote zitaonekana. Sasa ni wakati wa pambio na vigelegele.
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Wakenya siyo kama hawa maiti wanaotembea wq TZ huwezi minya haki zwatu Kenya kama kubomo nyumba za watu kimara kwa huyo mnaemwita Shuja siju wa nn? Kenya wakuchekee
 
Back
Top Bottom