Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Huyu ni nutcase, si kwamba ni strongman kama Magufuli.Dunia ya sasa inataka viongozi kama hao kwa sababu Ujuwaji umekuwa mwingi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni nutcase, si kwamba ni strongman kama Magufuli.Dunia ya sasa inataka viongozi kama hao kwa sababu Ujuwaji umekuwa mwingi!
Hajafa kizembe, alikuwa na maamuzi ya kiume!HUYO SHUJAA WA NCHI JIRANI USHUJAA WAKE UMEMLAZA CHATO
Ulikuwepo enzi za Mwembechai bwashee?!Alikuwa katili sana jamaa yenu. Kuna watu wamebaki vilema wa maisha kwa yeye kuendekeza watu waliokuwa wanausifia ukatili wake!!
Mama anaongoza nchi kama familia yake nyumbani!Kwa hiyo mama Hajielewi?,Mm nna imani anajielewa ila tatizo lake anataka kufanya wajibu wake kwa majivuno na sifa yupo kama yule Beki wa simba mkongo.
Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.Ha ha ha! Umekazia ule usemi wa better live a coward than a dead hero!
Hivi lile shati lako la Kitenge bado unalo!? Jamaa yako Mrema alitoa kipigo cha mbwa koko kwa waja wa Mwenyezimungu bila ya sababu za msingi!!Ulikuwepo enzi za Mwembechai bwashee?!
Ndio ujue ubabe haujaanza awamu ya 5!Hivi lile shati lako la Kitenge bado unalo!? Jamaa yako Mrema alitoa kipigo cha mbwa koko kwa waja wa Mwenyezimungu bila ya sababu za msingi!!
Nani hatalala?HUYO SHUJAA WA NCHI JIRANI USHUJAA WAKE UMEMLAZA CHATO
Ni Aibu kwakweli kuwa na Rais anajiita Mama kila mahali wakati nchi imezama kabsaa.Mama anaongoza nchi kama familia yake
Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo ya watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.Ndio ujue ubabe haujaanza awamu ya 5!
Dua la kuku....Kayafa & coShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia keleleAwamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo wa watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.
Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
Mwangosi alibutuliwa mchana kweupe achilia mbali Chacha Wangwe!Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo wa watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.
Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
Usifananishe Yesu na Shetani...Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.
Yesu kristo alikufa kwa kile alichokua anakiamini.
Galileo Galilei alikufa kwa kile alichokua anakiamini.
Historia hukumbuka watu waliokufa kwa kusimamia wanachokiamini sio mashoga na waoga.
Hakuna muoga alieshi miaka 100 ama 200 anaekumbukwa, anaumbukwa shujaa hata kama aliishi miaka 2.
Ukiwa shujaa unaishi muda mfupi lakini unaacha jina linaishi karne na karne, unakua muoga unaishi miaka 100 ukifa hata ukoo wako wanakusahau.
He is dead for goodShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
Shujaa alikuwa Hamza pekee yake, huyo Magufuli alikuwa muoga wa upinzani tu.
JPM alikuwa havumilii upuuzi, ushindwe uchaguzi alafu unaanza kusumbua nchi, ni bakora tu 😂