Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Ha ha ha! Umekazia ule usemi wa better live a coward than a dead hero!
Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.

Yesu kristo alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Galileo Galilei alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Historia hukumbuka watu waliokufa kwa kusimamia wanachokiamini sio mashoga na waoga.

Hakuna muoga alieshi miaka 100 ama 200 anaekumbukwa, anaumbukwa shujaa hata kama aliishi miaka 2.

Ukiwa shujaa unaishi muda mfupi lakini unaacha jina linaishi karne na karne, unakua muoga unaishi miaka 100 ukifa hata ukoo wako wanakusahau.
 
Ndio ujue ubabe haujaanza awamu ya 5!
Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo ya watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.

Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Dua la kuku....Kayafa & co
 
Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo wa watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.

Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
 
Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo wa watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.

Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
Mwangosi alibutuliwa mchana kweupe achilia mbali Chacha Wangwe!
 
Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.

Yesu kristo alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Galileo Galilei alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Historia hukumbuka watu waliokufa kwa kusimamia wanachokiamini sio mashoga na waoga.

Hakuna muoga alieshi miaka 100 ama 200 anaekumbukwa, anaumbukwa shujaa hata kama aliishi miaka 2.

Ukiwa shujaa unaishi muda mfupi lakini unaacha jina linaishi karne na karne, unakua muoga unaishi miaka 100 ukifa hata ukoo wako wanakusahau.
Usifananishe Yesu na Shetani...
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
He is dead for good
Acheke na kima wamzuie kukwapua 1.5 trilion?
Azuiwe kuficha pesa uchina?
Azuiwe kununua ndege chakavu kwa bei zaidi ya mpya?

MUNGU kamfyekelea mbali
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?

Shujaa alikuwa Hamza pekee yake, huyo Magufuli alikuwa muoga wa upinzani tu.
 
Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile

Na mwishowe akafa kifo Cha aibu. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom