kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Akili za stone age hizi, tabia za kutukana tukana, kutisha watu au kufikiri unachoongea wewe ndio sheria ni mambo ya kishamba sana na watanzania wasikubali viongozi wenye tabia kama hizi, jenga hoja utasikilizwa na usiposikilizwa acha za wengine zipite, nchi sio banda la ng'ombeShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Sikusema hayakuwepo, ila zama za mwendazake hata kukosoa tu lilikuwa ni kosa la uhaini. Nyie sasa hivi mnamsema na kumchambua rais kila siku na kesho yake bado mko mtaani kwenu mnakula ugali kwa uduvi!!Wewe unamtindio wa ubongo,Hao akina urimboka wangekubadilishia ARVs hizo unazo meza wakakupa fake ungejisikiaje,Mtu anag'olewa meno na kucha na kusema hakukuwa na matukio ya kutisha?.
Ukipewa jibu la swali hili nakaa palee.Je kama ni Kagame au Museveni? Huyo wenu anatenda nini wakati hayupo?
Kwani Yesu na Magufuli wana tofauti gani?Usifananishe giza na nuru. Mnamfananisha Yesu na huyo ibilisi kwa lipi?. Muuaji na mwenye kiburi aliyedhani yeye tu ndio mwenye haki.
Tanzania hakuna upinzani, kuna waganga njaa kila Mbowe, Lema, Lissu, Lipumba, nk. Wote hawana tofauti.Shujaa alikuwa Hamza pekee yake, huyo Magufuli alikuwa muoga wa upinzani tu.
Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??Kwani Yesu na Magufuli wana tofauti gani?
Magufuli aliua nani? Unaweza kunipa orodha ya watu waliouwawa na Magufuli
Ukijibiwa niite mbwa nikiwa nimekaa muwanja wa taifaJe kama ni Kagame au Museveni? Huyo wenu anatenda nini wakati hayupo?
Ukatili wake ulileta heshima na maendeleo,Rais ambaye hakemiee anaruhusu watu waibe kwa urefu wa kamba yao huoni kwamba ni Pigo la Taifa?Sikusema hayakuwepo, ila zama za mwendazake hata kukosoa tu lilikuwa ni kosa la uhaini. Nyie sasa hivi mnamsema na kumchambua rais kila siku na kesho yake bado mko mtaani kwenu mnakula ugali kwa uduvi!!
Yule jamaa aliendesha ukatili wa kimfumo.
Demokrasia ipi? Watu gani walizuiwa kujieleza. Humu JF tumekua tukijieleza miaka yote, uliona JF imefungwa ama twitter ama Instagram? Kujieleza ulitaka watu wajieleze wapi?Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??
Kwani Yesu na Magufuli wana tofauti gani?
Magufuli aliua nani? Unaweza kunipa orodha ya watu waliouwawa na Magufuli
Yesu na shetani kwa mujibu wa Biblia ni mtu na mshikaji wake, hukutana na kupiga stori. Hu share ideas na mawazo so hawana tofauti.Usifananishe Yesu na Shetani...
Mzeee kujieleza nini kwani watu walikuwa hawaongei,hawajielezi,nyie mnataka ujinga kama huu unafanyika kipindi hiki Mtu sio mbunge sio waziri ni raia kama raia wengine anasimamaje kusema kazi flani ni laana?Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??
Unaongelea kuhonga, usiulize Chadema wlaiokua wanahonga viti maalum madem zao? Hiyo ni ishu ya chadema.Eti Magufuli na Yesu wanatofauti gani?. Magufuli aliyemuhonga hawara yake Kabula viti Maalum unamlinganisha na Yesu. Magufuli aaliyekuwa anatukana wazee kuwa ni wapumbavu unamlinganisha na Yesu?.
Sasa unakataa hakuua? So hata orodha utaikataa. Ila alikuwa muuaji Sana na muoga kupindukia ndio maana hata kifo chake kilikuwa Cha kujificha.
Tanzania hakuna upinzani, kuna waganga njaa kila Mbowe, Lema, Lissu, Lipumba, nk. Wote hawana tofauti.
Tanzania haijawahi kua na upinzani.
Hiyo Biblia inayosema Yesu na shetani ni washikaji imechapishwa Chato? Maana bibilia tunayoijua sisi inaonesha kwama kusulubiwa kwa Yesu ilikuwa ni vita kati yake na shetani,Yesu na shetani kwa mujibu wa Biblia ni mtu na mshikaji wake, hukutana na kupiga stori. Hu share ideas na mawazo so hawana tofauti.
Endelea kujitoa akili tuu ila wengi humu tunakumbuka, hata hii site ya JF iliuziwa kesi ya kuchonga ili ifungiwe, na tunakumbuka internet ilifungwa nchi nzima na simu zetu zikaanza kusikilizwa bila sababu ya msingi, labda kwako hiyo ndio haki na demokrasiaDemokrasia ipi? Watu gani walizuiwa kujieleza. Humu JF tumekua tukijieleza miaka yote, uliona JF imefungwa ama twitter ama Instagram? Kujieleza ulitaka watu wajieleze wapi?
Demokrasia ipi unasema aliua, hao wapinzani walikufa kwa njaa zao wenyewe. Sasa kama watu wananunuliwa kama maharage ni kosa la mnunuaji ama anaejiuza?
Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??
Soma biblia acha kusubiri usomewe na padri. Soma kisa cha Ayubu.Hiyo Biblia inayosema Yesu na shetani ni washikaji imechapishwa Chato? Maana bibilia tunayoijua sisi inaonesha kwama kusulubiwa kwa Yesu ilikuwa ni vita kati yake na shetani,
Shetani alikuwa ni mshikaji wa Jamaa yenu katili na mtesaji wa watu!!