Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Akili za stone age hizi, tabia za kutukana tukana, kutisha watu au kufikiri unachoongea wewe ndio sheria ni mambo ya kishamba sana na watanzania wasikubali viongozi wenye tabia kama hizi, jenga hoja utasikilizwa na usiposikilizwa acha za wengine zipite, nchi sio banda la ng'ombe
 
Wewe unamtindio wa ubongo,Hao akina urimboka wangekubadilishia ARVs hizo unazo meza wakakupa fake ungejisikiaje,Mtu anag'olewa meno na kucha na kusema hakukuwa na matukio ya kutisha?.
Sikusema hayakuwepo, ila zama za mwendazake hata kukosoa tu lilikuwa ni kosa la uhaini. Nyie sasa hivi mnamsema na kumchambua rais kila siku na kesho yake bado mko mtaani kwenu mnakula ugali kwa uduvi!!

Yule jamaa aliendesha ukatili wa kimfumo.
 
Usifananishe giza na nuru. Mnamfananisha Yesu na huyo ibilisi kwa lipi?. Muuaji na mwenye kiburi aliyedhani yeye tu ndio mwenye haki.
Kwani Yesu na Magufuli wana tofauti gani?

Magufuli aliua nani? Unaweza kunipa orodha ya watu waliouwawa na Magufuli
 
Magufuli kawaaibisha Sana wanaume. Kazidiwa na mwanamke ambaye haogopi upinzani. Mtu muoga Kama Nini.
 
Shujaa alikuwa Hamza pekee yake, huyo Magufuli alikuwa muoga wa upinzani tu.
Tanzania hakuna upinzani, kuna waganga njaa kila Mbowe, Lema, Lissu, Lipumba, nk. Wote hawana tofauti.

Tanzania haijawahi kua na upinzani.
 
Sikusema hayakuwepo, ila zama za mwendazake hata kukosoa tu lilikuwa ni kosa la uhaini. Nyie sasa hivi mnamsema na kumchambua rais kila siku na kesho yake bado mko mtaani kwenu mnakula ugali kwa uduvi!!

Yule jamaa aliendesha ukatili wa kimfumo.
Ukatili wake ulileta heshima na maendeleo,Rais ambaye hakemiee anaruhusu watu waibe kwa urefu wa kamba yao huoni kwamba ni Pigo la Taifa?
 
Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??
Demokrasia ipi? Watu gani walizuiwa kujieleza. Humu JF tumekua tukijieleza miaka yote, uliona JF imefungwa ama twitter ama Instagram? Kujieleza ulitaka watu wajieleze wapi?

Demokrasia ipi unasema aliua, hao wapinzani walikufa kwa njaa zao wenyewe. Sasa kama watu wananunuliwa kama maharage ni kosa la mnunuaji ama anaejiuza?
 
Kwani Yesu na Magufuli wana tofauti gani?

Magufuli aliua nani? Unaweza kunipa orodha ya watu waliouwawa na Magufuli

Eti Magufuli na Yesu wanatofauti gani?. Magufuli aliyemuhonga hawara yake Kabula viti Maalum unamlinganisha na Yesu. Magufuli aaliyekuwa anatukana wazee kuwa ni wapumbavu unamlinganisha na Yesu?.

Sasa unakataa hakuua? So hata orodha utaikataa. Ila alikuwa muuaji Sana na muoga kupindukia ndio maana hata kifo chake kilikuwa Cha kujificha.
 
Aliua Demokrasia na Uhuru wa watu kujieleza. Yesu yupi unayemfananisha na Magufuli!!??
Mzeee kujieleza nini kwani watu walikuwa hawaongei,hawajielezi,nyie mnataka ujinga kama huu unafanyika kipindi hiki Mtu sio mbunge sio waziri ni raia kama raia wengine anasimamaje kusema kazi flani ni laana?
Huyu mama anaaibisha taifa unasimamaje mbele ya watanzania unasema yule jamaa kesi zake zoote za mahakamani nimezifuta,ninkwamba hajui sheria au anatukomoa Team JPM?
 
Eti Magufuli na Yesu wanatofauti gani?. Magufuli aliyemuhonga hawara yake Kabula viti Maalum unamlinganisha na Yesu. Magufuli aaliyekuwa anatukana wazee kuwa ni wapumbavu unamlinganisha na Yesu?.

Sasa unakataa hakuua? So hata orodha utaikataa. Ila alikuwa muuaji Sana na muoga kupindukia ndio maana hata kifo chake kilikuwa Cha kujificha.
Unaongelea kuhonga, usiulize Chadema wlaiokua wanahonga viti maalum madem zao? Hiyo ni ishu ya chadema.

Orodha ili kuthibitisha madai yako. Otherwise itakua ni umbea na uzushikama uzushi mwingine na chuki. Ukimtuhumu mtu utoe na ushahidi, huna ushahidi ni chiki na umbea.

Thibitisha kwamba aliua watu kwa kuleta orodha ya hao watu waliouwawa. Aliua nani?

Kama mtu ni mpumbavu asitukanwe, mpumbavu ni mpumbavu tu haijalishi ni mzee ama ni kijana, wajinga pia huzeeka hivyo umri hauondoi ujinga.

Sasa mtu kama makamba anaesema waliokufa wote ni wabaya, unaweza kusema ni mzee mwenye akili? Ukimuuliza mama yake ama baba yake aliekufa nae alikua mbaya hana jibu.
 
Tanzania hakuna upinzani, kuna waganga njaa kila Mbowe, Lema, Lissu, Lipumba, nk. Wote hawana tofauti.

Tanzania haijawahi kua na upinzani.

Kama haijawahi kuwa na upinzani huyo Magufuli alipataje asilimia 57 ya kura 2015? Asilimia chache kuliko marais wote waliotangulia?. Kama Hakuna upinzani mbona alizuia wasifanye mikutano? Kama Hakuna upinzani mbona alikuwa anafanya vioja kwenye uchaguzi kwa kuengua wagombea robo tatu wa upinzani 2014? Na kuharibu uchaguzi wa 2015?.

Magufuli Rais muoga Sana, yeye akilala anawaza upinzani tu. Sasa amekufa amewaacha upinzani wanaendelea.
 
Yesu na shetani kwa mujibu wa Biblia ni mtu na mshikaji wake, hukutana na kupiga stori. Hu share ideas na mawazo so hawana tofauti.
Hiyo Biblia inayosema Yesu na shetani ni washikaji imechapishwa Chato? Maana bibilia tunayoijua sisi inaonesha kwama kusulubiwa kwa Yesu ilikuwa ni vita kati yake na shetani,

Shetani alikuwa ni mshikaji wa Jamaa yenu katili na mtesaji wa watu!!
 
Demokrasia ipi? Watu gani walizuiwa kujieleza. Humu JF tumekua tukijieleza miaka yote, uliona JF imefungwa ama twitter ama Instagram? Kujieleza ulitaka watu wajieleze wapi?

Demokrasia ipi unasema aliua, hao wapinzani walikufa kwa njaa zao wenyewe. Sasa kama watu wananunuliwa kama maharage ni kosa la mnunuaji ama anaejiuza?
Endelea kujitoa akili tuu ila wengi humu tunakumbuka, hata hii site ya JF iliuziwa kesi ya kuchonga ili ifungiwe, na tunakumbuka internet ilifungwa nchi nzima na simu zetu zikaanza kusikilizwa bila sababu ya msingi, labda kwako hiyo ndio haki na demokrasia
 
Hiyo Biblia inayosema Yesu na shetani ni washikaji imechapishwa Chato? Maana bibilia tunayoijua sisi inaonesha kwama kusulubiwa kwa Yesu ilikuwa ni vita kati yake na shetani,

Shetani alikuwa ni mshikaji wa Jamaa yenu katili na mtesaji wa watu!!
Soma biblia acha kusubiri usomewe na padri. Soma kisa cha Ayubu.

Kama yesu na shetani ni maadui, walikutana kumjadili ayubu wapi. Maadui gani wanakutana kujadili jambo na kuulizana taarifa za kitu ama mtu flani? Uliwahi kuona wapi?

Ukiona adui wanakutana ujue wamepatana kama chadema na ccm. Hivyo yesu na shetani ni washkaji tu.
 
Back
Top Bottom