Ukatili wake ulileta heshima na maendeleo,Rais ambaye hakemiee anaruhusu watu waibe kwa urefu wa kamba yao huoni kwamba ni Pigo la Taifa?
Shetani alikuwa ana ushikaji na jamaa yenu!!Hivyo yesu na shetani ni washkaji tu.
Demokrasia ipi? Watu gani walizuiwa kujieleza. Humu JF tumekua tukijieleza miaka yote, uliona JF imefungwa ama twitter ama Instagram? Kujieleza ulitaka watu wajieleze wapi?
Demokrasia ipi unasema aliua, hao wapinzani walikufa kwa njaa zao wenyewe. Sasa kama watu wananunuliwa kama maharage ni kosa la mnunuaji ama anaejiuza?
Simu yako isikulizwe wewe una ishu gani? Uongo utakusaidia nini? Unaweza kutoa clip ya simu yako kusikilizwa ili niamini unachokisema?Endelea kujitoa akili tuu ila wengi humu tunakumbuka, hata hii site ya JF iliuziwa kesi ya kuchonga ili ifungiwe, na tunakumbuka internet ilifungwa nchi nzima na simu zetu zikaanza kusikilizwa bila sababu ya msingi, labda kwako hiyo ndio haki na demokrasia
Nchi nyingi tu hufanya hivyo kama kuna hatari ya machafuko yanayoweza kutokea sababu ya uchaguzi. Sio kitu kipya. Hata hivyo internet ilirudi kama kawaida baadae.Mbona kipindi Cha uchaguzi mtandao wa internet ulizimwa wiki mbili? Unaongea Nini?. Mtu Hadi anazima internet nchi nzima kisa tu aibe kura. Jinga kweli yule ibilisi.
Uthibitisho kwamba yeye aliiba hela na kuzificha china uko wapi,nyie si mlisema alisabisha taifa kuwa gizani na akaharibu uhusino na nchi za nje huko china wamekubalije kupokea na kuficha pesa za wizi za mtu ambae hawana uhusiano mzuri na yeye?Maendeleo ya kuficha pesa china? Na kuiba Trilioni 1.5? Magufuli alitumia ukatili ili aibe vizuri. Ndio maana kamuweka binamu yake kuwa mkuu wa hazina.
Hata yesu pia. Nimekupa mfano wa ushkaji wa shetani na yesu hivyo kama jamaa alikua na ushkaji na shetani basi pia yesu alihusika.Shetani alikuwa ana ushikaji na jamaa yenu!!
Mkuu haya mataahira ni kuyauliza maswali magumu tu.Uthibitisho kwamba yeye aliiba hela na kuzificha china uko wapi,nyie si mlisema alisabisha taifa kuwa gizani na akaharibu uhusino na nchi za nje huko china wamekubalije kupokea na kuficha pesa za wizi za mtu ambae hawana uhusiano mzuri na yeye?
Yesu na shetani kwa mujibu wa Biblia ni mtu na mshikaji wake, hukutana na kupiga stori. Hu share ideas na mawazo so hawana tofauti.
Sio simu tuu, matendo ya utekaji, kesi za kubambikiza,wizi wa kura na mauaji (viroba) yalishamiri sanaSimu yako isikulizwe wewe una ishu gani? Uongo utakusaidia nini? Unaweza kutoa clip ya simu yako kusikilizwa ili niamini unachokisema?
JF kupewa kesi haina maana kwamba JF ilifungwa, tulikua tunajadili humu kila siku.
Toa ushahidi wa shutuma, isitoe tu maneno ya jumla jumla.
Alitekwa nani?nani alibambikiziwa kesi, nani aliibiwa kura?Sio simu tuu, matendo ya utekaji, kesi za kubambikiza,wizi wa kura na mauaji (viroba) yalishamiri sana
Unaongelea kuhonga, usiulize Chadema wlaiokua wanahonga viti maalum madem zao? Hiyo ni ishu ya chadema.
Orodha ili kuthibitisha madai yako. Otherwise itakua ni umbea na uzushikama uzushi mwingine na chuki. Ukimtuhumu mtu utoe na ushahidi, huna ushahidi ni chiki na umbea.
Thibitisha kwamba aliua watu kwa kuleta orodha ya hao watu waliouwawa. Aliua nani?
Kama mtu ni mpumbavu asitukanwe, mpumbavu ni mpumbavu tu haijalishi ni mzee ama ni kijana, wajinga pia huzeeka hivyo umri hauondoi ujinga.
Sasa mtu kama makamba anaesema waliokufa wote ni wabaya, unaweza kusema ni mzee mwenye akili? Ukimuuliza mama yake ama baba yake aliekufa nae alikua mbaya hana jibu.
Umesoma kisa cha Ayubu? Soma kisha urudi hapa tujadiliane.Wewe una tatizo. Biblia inasema Shetani alimjaribu Yesu, Tena kwa kumwambia amsujudie. Yesu akamshinda, wewe unadai ni washakaji. Wewe unaidharau dini ya kikristo Sana.
Hiyo habari ya Yesu kukutana na Shetani kwenye ishu ya Ayubu, labda Mwenzetu umeisoma kwenye Biblia iliyoandika na Paul Makonda.Hata yesu pia. Nimekupa mfano wa ushkaji wa shetani na yesu hivyo kama jamaa alikua na ushkaji na shetani basi pia yesu alihusika.
Ni kweli sasa chadema hawana viti maalum (ingawa haya wanayasema hadharani) ila kwa ndani ukweli wa kina Mdee wanaujua wao. Miaka mingine yote chadema walikua wanahonga viti maalum kwa madem zao. Mbowe alimhonga kimada wake viti maalum, Lisu akampa dada yake viti maalum. Orodha inaenda mbali.CHADEMA kwa Sasa haina viti Maalum. Sijui unaongelea Nini?. Ila Magufuli kumuhonga Kabula viti Maalum ilikuwa ni doa kubwa Sana. Huyo Kabula mwenyewe wamemficha kuondoa aibu.
Kuhusu kuua subiri kesi ya Lissu itakapoanza ndio tutapata umweli.
Endelea kujitoa akili tuu, watu wameamua kupotezea tuu ili yaishe , kama hujui kuna settlement za mabilioni zinafanyika kimya kimya sasa kurudisha nchi mstaliniAlitekwa nani?nani alibambikiziwa kesi, nani aliibiwa kura?
Ukitoa shutuma uwe na ushahidi angalau kidogo kuthibitisha shutuma ama tuhuma zako juu ya mtu unaemtuhumu.
Kasome biblia vizuri. Usingoje kusomewa. Sijasingizia kitu hata kimoja.Hiyo habari ya Yesu kukutana na Shetani kwenye ishu ya Ayubu, labda Mwenzetu umeisoma kwenye Biblia iliyoandika na Paul Makonda.
Hapa unatetea Mwendazake kumhonga yule hawara yake nyumba??Hii ya kuhongana viti maalum chadema ni experts kwenye hilo.
Leta ushahidi achana na stori za kuambiwa, achana na hadithi za alinacha.Endelea kujitoa akili tuu, watu wameamua kupotezea tuu ili yaishe , kama hujui kuna settlement za mabilioni zinafanyika kimya kimya sasa kurudisha nchi mstalini