econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ukatili wake ulileta heshima na maendeleo,Rais ambaye hakemiee anaruhusu watu waibe kwa urefu wa kamba yao huoni kwamba ni Pigo la Taifa?
Maendeleo ya kuficha pesa china? Na kuiba Trilioni 1.5? Magufuli alitumia ukatili ili aibe vizuri. Ndio maana kamuweka binamu yake kuwa mkuu wa hazina.