Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Kasome biblia vizuri. Usingoje kusomewa. Sijasingizia kitu hata kimoja.
Hiyo labda ni ile Biblia inayotumiwa na Yesu wa TongareninBungoma nchini Kenya

_110001310_3bee2ed8-2263-4122-a934-57771f96077b.jpg

Mwamba huyu hapa!!
 
Mbowe kumhonga mpenzi wake ubunge unasemaje kuhusu hilo? Ama Lisu kumteua dada yake ubunge hilo umelisahau?
Mbowe hajawahi kuhonga wala Lissu kumteua dada yake. Hivi Salima Kikwete na Ridhiwani Kikwete kuwa wabunge ni kwa kuwa waliteuliwa na Kikwete??
 
Salma Kikwete aliteuliwa na Magufuli, Lidhiwani aligombea. Dada yake Lisu na mchepuko wa mbowe waliteuliwa na Mbowe viti maalum.
 
Chuma gani muoga hivyo. Anaogopa wapinzani mpaka akawa anaharibu chaguzi na kufuta mikitano ya siasa. Ni vyema alifutiliwa mbali kabisa kwenye uso wa Dunia. Akakutane na saanane na Azory.
Hakukuwa na haja ya kusumbua na nyie wapuuzi
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Huyu na yeye ni wa hovyo tu!
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Kenge wewe!
 
Kwani yupo
 
Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.

Atakumbukwa milele na watanzania wazalendo.
Hata Hitler, bokasa na washenzi wengine nao tunawakumbuka mpaka leo.
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Ana uhakika hawatamgeuka anao wategemea? anajua kesho itakuja vipi? mpuuzi tu huyo
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Maandamano ni haki ya waandamanaji.Huyo unayemwita shujaa mbona kakimbia maisha?Shujaa?Wa kipi?Amekufa kizembe sana.
 
Back
Top Bottom