The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mbowe kumhonga mpenzi wake ubunge unasemaje kuhusu hilo? Ama Lisu kumteua dada yake ubunge hilo umelisahau?Hapa unatetea Mwendazake kumhonga yule hawara yake nyumba??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kumhonga mpenzi wake ubunge unasemaje kuhusu hilo? Ama Lisu kumteua dada yake ubunge hilo umelisahau?Hapa unatetea Mwendazake kumhonga yule hawara yake nyumba??
Hiyo labda ni ile Biblia inayotumiwa na Yesu wa TongareninBungoma nchini KenyaKasome biblia vizuri. Usingoje kusomewa. Sijasingizia kitu hata kimoja.
Mbowe hajawahi kuhonga wala Lissu kumteua dada yake. Hivi Salima Kikwete na Ridhiwani Kikwete kuwa wabunge ni kwa kuwa waliteuliwa na Kikwete??Mbowe kumhonga mpenzi wake ubunge unasemaje kuhusu hilo? Ama Lisu kumteua dada yake ubunge hilo umelisahau?
Hayawez kujibu kwa hoja yanategemea kauli za matusi tu.Mkuu haya mataahira ni kuyauliza maswali magumu tu.
Salma Kikwete aliteuliwa na Magufuli, Lidhiwani aligombea. Dada yake Lisu na mchepuko wa mbowe waliteuliwa na Mbowe viti maalum.Mbowe hajawahi kuhonga wala Lissu kumteua dada yake. Hivi Salima Kikwete na Ridhiwani Kikwete kuwa wabunge ni kwa kuwa waliteuliwa na Kikwete??
Siyo vikao vya CHADEMA? Yaani ni kwa nini mnapenda sana kujivisha ujinga bila ya sababu.Salma Kikwete aliteuliwa na Magufuli, Lidhiwani aligombea. Dada yake Lisu na mchepuko wa mbowe waliteuliwa na Mbowe viti maalum.
Chadema ni mali ya mbowe, sio mali ya wanachama.Siyo vikao vya CHADEMA? Yaani ni kwa nini mnapenda sana kujivisha ujinga bila ya sababu.
Hakukuwa na haja ya kusumbua na nyie wapuuziChuma gani muoga hivyo. Anaogopa wapinzani mpaka akawa anaharibu chaguzi na kufuta mikitano ya siasa. Ni vyema alifutiliwa mbali kabisa kwenye uso wa Dunia. Akakutane na saanane na Azory.
Huyu na yeye ni wa hovyo tu!Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Kenge wewe!Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Unasemaje mtoto mzuri, unataka nikupige miti?Kenge wewe!
Waziri wa hovyo kabisa weweUnasemaje mtoto mzuri, unataka nikupige miti?
Kwani yupoShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Nani anapenda kwenda ICCNapata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana
Hata Hitler, bokasa na washenzi wengine nao tunawakumbuka mpaka leo.Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.
Atakumbukwa milele na watanzania wazalendo.
Ana uhakika hawatamgeuka anao wategemea? anajua kesho itakuja vipi? mpuuzi tu huyoNadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Maandamano ni haki ya waandamanaji.Huyo unayemwita shujaa mbona kakimbia maisha?Shujaa?Wa kipi?Amekufa kizembe sana.Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Punguza makasiriko maisha mafupi hayaMama anaongoza nchi kama familia yake nyumbani!
Ndio maana kunakuwa na siku ya mashujaa duniani ila hakuna siku ya waoga na wezi.HUYO SHUJAA WA NCHI JIRANI USHUJAA WAKE UMEMLAZA CHATO
Fisi ww!Unasemaje mtoto mzuri, unataka nikupige miti?