Naibu SG wa Hezbollah akimbilia Naim Kassem akimbilia Tehran. Ahofia kuwa Next target ya Mayahudi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Jamaa yeye hajataka kuwahi mabikra 72. Ameondoka Hezbollah kuelekea Tehran kujificha huko akihofia kilichomkuta Ungo na yeye Kibeku kumkuta. Wamereport Iran katika hali ya kustaajabishwa na makamanda hawa ,mashujaa kukimbia mapambano na wengine kujificha mapangoni.

Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android~2.jpg
 
[10/20, 7:14 PM] +27 73 499 4191: BREAKING: The Al Qassam Brigades confirm assassinating the leader of the 401st Brigade of the IDF in Gaza!

Colonel Ihsan Daqsa! The highest ranking military officer killed since Oct 7th!

A number of his military assistants were also critically injured!

The Colonel was on his way to receive Intel information and plan operations in Jabalia!

Al Quran - "˹So˺ fight them and Allah will punish them at your hands, put them to shame, help you overcome them, and soothe the hearts of the believers"

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
[10/20, 7:35 PM] +27 73 499 4191: Update: It has been officially confirmed by the Zionist army not by Al Qassam.

The eliminated IDF Colonel Ihsan Daqsa was honored with many medals in 2006 in the battle with Hezbollah in Aita Shab.

This is a very very high ranking Zionist officer eliminated!

View attachment 3131280
Kwahiyo anazikimbia bikira zake?
 
Netanyahu alipoenda India baada y kujua viuma vipo njian ulikuwa wap bwashee kama unaamini alikwenda kimkakati basi jua uyo naibu analejea Lebanon kaongoza mapamano uko Iran kaenda kimkakati tu.
 
Jamaa yeye hajataka kuwahi mabikra 72. Ameondoka Hezbollah kuelekea Tehran kujificha huko akihofia kilichomkuta Ungo na yeye Kibeku kumkuta. Wamereport Iran katika hali ya kustaajabishwa na makamanda hawa ,mashujaa kukimbia mapambano na wengine kujificha mapangoni.

View attachment 3131280
Vita ni akili marekani na ubabe wake wote hajawahi pigana vita ya ardhini bush na ulinzi wote alikwea mawinguni kwa masaa kadhaa wakati Osama bin laden alipowavua nguo!
 
[10/20, 7:14 PM] +27 73 499 4191: BREAKING: The Al Qassam Brigades confirm assassinating the leader of the 401st Brigade of the IDF in Gaza!

Colonel Ihsan Daqsa! The highest ranking military officer killed since Oct 7th!

A number of his military assistants were also critically injured!

The Colonel was on his way to receive Intel information and plan operations in Jabalia!

Al Quran - "˹So˺ fight them and Allah will punish them at your hands, put them to shame, help you overcome them, and soothe the hearts of the believers"

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
[10/20, 7:35 PM] +27 73 499 4191: Update: It has been officially confirmed by the Zionist army not by Al Qassam.

The eliminated IDF Colonel Ihsan Daqsa was honored with many medals in 2006 in the battle with Hezbollah in Aita Shab.

This is a very very high ranking Zionist officer eliminated!

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-04-38-09-131_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-08-41-52-477_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-08-16-30-415_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
1000368796.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-20-10-31-39-548_com.twitter.android~2.jpg
    Screenshot_2024-10-20-10-31-39-548_com.twitter.android~2.jpg
    255.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
    Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
    221.4 KB · Views: 3
Vita ni akili marekani na ubabe wake wote hajawahi pigana vita ya ardhini bush na ulinzi wote alikwea mawinguni kwa masaa kadhaa wakati Osama bin laden alipowavua nguo!
Hivi kwa technology iliopo sasa hvi; askari wa ardhini wanaweza kutumia silaha gani inayoweza kuua watu waliojificha kwenye mahandaki/tunnels? Jifunzeni vitu kwanza ndio m comment, una haraka gani? Anyway, nikukumbushe tu, yule dogo aliyekua na umri wa miaka 21 ambaye alisaidia sana kujua mahali Osama alipojificha, alikamatwa ma askari wa miguu wa Marekani pale Afghanistan, mwingine aliyekw3nda kwa jina la Albagdad nae alikamatwa na askari wa miguu palepale Iraq; wawili hao ndio hasa walisaidia sana kujua namna ya kumpata Osama Bin Laden. Wote hawa (sina hakika kama bado wapo hai ) walifungwa kwenye gereza na Gwantanamo.
 
Anadharau infantry, infantry ndio jeshi mama , ndio uti wa mgongo wa majeshi yote duniani
 
Hivi kwa technology iliopo sasa hvi; askari wa ardhini wanaweza kutumia silaha gani inayoweza kuua watu waliojificha kwenye mahandaki/tunnels? Jifunzeni vitu kwanza ndio m comment, una haraka gani? Anyway, nikukumbushe tu, yule dogo aliyekua na umri wa miaka 21 ambaye alisaidia sana kujua mahali Osama alipojificha, alikamatwa ma askari wa miguu wa Marekani pale Afghanistan, mwingine aliyekw3nda kwa jina la Albagdad nae alikamatwa na askari wa miguu palepale Iraq; wawili hao ndio hasa walisaidia sana kujua namna ya kumpata Osama Bin Laden. Wote hawa (sina hakika kama bado wapo hai ) walifungwa kwenye gereza na Gwantanamo.
Huna ujualo!
 
Back
Top Bottom