Naibu SG wa Hezbollah akimbilia Naim Kassem akimbilia Tehran. Ahofia kuwa Next target ya Mayahudi

Naibu SG wa Hezbollah akimbilia Naim Kassem akimbilia Tehran. Ahofia kuwa Next target ya Mayahudi

Hata Nasurlah walisema vile vile eti.kakimbia yuko Iran, tatizo nyie wafuasi wa Paulo mnajijua wazi kabisa ukristo wenu fake ndio mana mnaogopa kufa. Waislam waogope kufa sababu ipi labda awe haendi sawa na uislamu unavyo amrisha, ndio ataogopa kufa sababu hana tofauti na wakristo na wayahudi.
FB_IMG_1729599095307.jpg
FB_IMG_1729390655849.jpg
 
1 Wafalme 2:5-6 (KJV) Na zaidi ya hayo, umejua alivyonitenda Yoabu, mwana wa Seruya, yaani, alivyowatenda majemadari wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri, mwana wa Neri, na Amasa, mwana wa Yetheri, ambao aliwaua, na kuimwaga damu ya vita wakati wa amani, akautia damu ya vita mshipi uliokuwa viunoni mwake, na viatu vilivyokuwa miguuni mwake.
Kwa hiyo ufanye kama ilivyo hekima yako, wala usimwachie mvi zake kushukia Ahera kwa amani.
Screenshot_2024-10-21-22-20-55-853_com.twitter.android~2.jpg
 
Hata Nasurlah walisema vile vile eti.kakimbia yuko Iran, tatizo nyie wafuasi wa Paulo mnajijua wazi kabisa ukristo wenu fake ndio mana mnaogopa kufa. Waislam waogope kufa sababu ipi labda awe haendi sawa na uislamu unavyo amrisha, ndio ataogopa kufa sababu hana tofauti na wakristo na wayahudi.
Screenshot_2024-10-21-22-20-55-853_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-22-29-59-585_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-20-59-59-897_com.whatsapp.jpg
Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-21-08-41-52-477_org.mozilla.firefox~2.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-21-04-31-37-866_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2024-10-21-04-31-37-866_com.twitter.android.jpg
    184.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android.jpg
    209.8 KB · Views: 4
  • 20241017_163527.jpg
    20241017_163527.jpg
    303.1 KB · Views: 3
  • 8a714f03e8fc33de8de3df4abb6f6cf1.jpg
    8a714f03e8fc33de8de3df4abb6f6cf1.jpg
    18.9 KB · Views: 2
  • 1000368796.jpg
    1000368796.jpg
    444.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
    Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
    214.5 KB · Views: 3
Wao si wananguvu waende Iran kuuwa watumie njia yao kigaidi bin uoga kama kupigana uwez ata kung,ta pia unaweza pata ushindi na mashabiki wako wakijitoa faaam unajikuta unashangiliwa kuwa mshindii. IRAN ameifanya dunia ijue akuna kisichowezekana chini ya jua alimtwanga USA akaambia icho kibao tu sasa jaribu tukuoneshe vita inakuwaje. akaambiwa tena iyo vita utakuwa umeiyanza ww lkn ni Iran tu atakaeimaliza iyo vita akuna mwengine 😂😂 Tramp adi Leo anaishi kwa yoga. So mwambieni Israel atimbe Iran sio mbali.

Iran ipi?. Hii ambayo Rais wao alitunguliwa kwenye helicopter au Iran ambayo Haniye mkuu wa Hamas alitunguliwa Tena kwenye Kambi ya Jeshi.
 
Bado kile kisemaji chao. Jana kimekimbia mabomu.
Hatar sana 😂😂

Anakuambia " The bombing does not scare us, nor the threats " mara ghafra baada ya kusikia kwamba IDF wametoa evacuation order akaacha microphone na kutokomea huku anabwabwaja.
 
Haina namna lazima Ayatollah awafuate mabikra 72 kama Nasrallah na Hanniyeh na Sinwar
 
Jamaa yeye hajataka kuwahi mabikra 72. Ameondoka Hezbollah kuelekea Tehran kujificha huko akihofia kilichomkuta Ungo na yeye Kibeku kumkuta. Wamereport Iran katika hali ya kustaajabishwa na makamanda hawa ,mashujaa kukimbia mapambano na wengine kujificha mapangoni.

View attachment 3131280
Mbona anafanana na Yuda Iscariot wa kwenye movie....,😀😀😀
 
Back
Top Bottom