Naibu SG wa Hezbollah akimbilia Naim Kassem akimbilia Tehran. Ahofia kuwa Next target ya Mayahudi

 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-21-04-31-37-866_com.twitter.android.jpg
    184.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-21-04-31-52-789_com.twitter.android.jpg
    209.8 KB · Views: 4
  • 20241017_163527.jpg
    303.1 KB · Views: 3
  • 8a714f03e8fc33de8de3df4abb6f6cf1.jpg
    18.9 KB · Views: 2
  • 1000368796.jpg
    444.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
    214.5 KB · Views: 3

Iran ipi?. Hii ambayo Rais wao alitunguliwa kwenye helicopter au Iran ambayo Haniye mkuu wa Hamas alitunguliwa Tena kwenye Kambi ya Jeshi.
 
Bado kile kisemaji chao. Jana kimekimbia mabomu.
Hatar sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Anakuambia " The bombing does not scare us, nor the threats " mara ghafra baada ya kusikia kwamba IDF wametoa evacuation order akaacha microphone na kutokomea huku anabwabwaja.
 
Haina namna lazima Ayatollah awafuate mabikra 72 kama Nasrallah na Hanniyeh na Sinwar
 
Mbona anafanana na Yuda Iscariot wa kwenye movie....,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…