Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wabunge hawajawahi kuwa serious wanafanya utoto sana.Unaenda kumtambulisha haji manara bungeni, mara mwijaku.
Mtu unashangaa are this people serious.
Ikibidi na michepukoKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee.
Hayo yamesemwa leo Juni 11, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.
Zungu amesema utambulisho wa wageni wote bungeni huchukua muda mrefu, hali inayosababisha kuathiri muda uliotolewa kwa shughuli muhimu za Bunge.
Mara sijui mchepuko wa mbungeYes kabisa jamani,
Imagine sijui eti Rafiki wa Mbunge, mara sijui Jirani wa Waziri, sijui watendaji wa kata, kituko mara wapiga kura wa Mbunge🙄
Kwenye orodha ya wageni watakaotambulishwa naomba tusiwasahau chawa wa mama, ni watu muhimu sana na wana mchango mkubwa kwa chama na serikali (sijasema kwa Taifa). Na mwenyekiti awe Lukas na katibu TlaaatlahKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee.