Oia na kumsifia Mama iondolewe ina kula muda mwingi sanaKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee.
Hayo yamesemwa leo Juni 11, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.
Zungu amesema utambulisho wa wageni wote bungeni huchukua muda mrefu, hali inayosababisha kuathiri muda uliotolewa kwa shughuli muhimu za Bunge.
😁😁😁 hivi huyo zungu ni mtanzania? 😁😁😁 nchi inajitia utumwani yenyewe kwa kujitakia....tatizo ni kukosekana kwa daraja za uraia ...huyo zungu alitakiwa kuwa na uraia wa daraja ya tatu ...ambao usinge ruhusu hata kupiga kura au kuwa mwanasiasa a7 mfadhiri wa kisiasa...na wenzake kina ponjori na kina rostamKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee.
Hayo yamesemwa leo Juni 11, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.
Zungu amesema utambulisho wa wageni wote bungeni huchukua muda mrefu, hali inayosababisha kuathiri muda uliotolewa kwa shughuli muhimu za Bunge.
Kabisa manake ilifika wakati uholela ulizidi unakuta eti Wageni wanatambulishwa ni Wageni wa mbunge flani wakati huyo mbunge mwenyeji mwenyewe pale bungeni hayupo.Wanafanya vitu, mpaka wanaona aibu wenyewe. Bunge walilifanya kama guest house za uchochoroni. Eti mgeni wa mbunge, ukute ni hawara yake. Wewe mwenyewe usionekane bunge lijalo. Ni kati ya wabunge mizigo tu.
Bora, maana mtu anabeba machawa wake, mara wake zake wanne na wasanii wake anaenda kuwatambulisha bungeni, hovyo kabisaaKamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee.