Naibu Spika Zungu madaraka yamekulevya. Unataka wananchi wakatwe tozo zipi za intaneti wakati tunanunua salio na kukatwa tozo?

Naibu Spika Zungu madaraka yamekulevya. Unataka wananchi wakatwe tozo zipi za intaneti wakati tunanunua salio na kukatwa tozo?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Msigeuze wananchi kama kiwanda cha kulisha matumbo yenu
👇
Screenshot_20220921-133457.jpg
 
anaelewa "Internet" au anataja tu kama wale wanafunzi darasani wanaotaka kuonekana wajuaji sana!

bunge nalo liwe na wataalam wa "Internet" liweze kuwashauri vyema viongozi hawa wasiaibike!

kile kikao na kina Facebook na Ig kimeleta matunda gani?
 
Wabunge wengi waliingia kwa vimemo. Tutegemee ndiyoooo tu. Pale bungeni Zungu anaonekana bonge la kipanga, kina building finance wanamuona Kama lecturer Fulani hivi. Kila atakalosema utasikia NDIOOOOO
 
Alaaniwe dhalimu kwa kunajisi uchaguzi na kutuwekea hili bunge kibogoyo la wanakijani tupu. Kwanini hawasemi tuuze zile raslimali ambazo kila siku wanasema tunazo hadi wazungu wanatuonea wivu?
Mkuu tindo sio vyema kumhusisha hayati mzalendo na masuala ya akina Zungu
 
Inataka moyo sana kuwa muwekezaji Tz, kampuni ni mtoa huduma, ni halali yeye kumkata mteja kiasi fulani maana ile ni biashara yake, ana expenses za kuclear. Serikali inataka ichukue sawa na muwekezaji kwa kuwa yenyewe imefanya nini?

Bunge la CCM kwa kweli tumewachoka! 2025 ni either hamtarudi au mtatumia pesa zote mlizonazo kuhonga kupata tena ubunge, hakuna mwananchi mwenye akili timamu atawapigia kura wabunge hawa ambao si wawakilishi wa wananchi bali ni watetezi wa serikali ya kifisadi.
 
Back
Top Bottom