What about you Sir?kama kulala tu anatumia laki nne kwa siku?,je matumizi mengine inaweza kuwa milioni moja anatumia kwa siku?.na kama ndyo hivyo yeye anaingiza sh ngapi kwa siku?,na kwa hizo pesa kwa mwaka anatumia sh ngapi?,je matumizi yake na mapato yake vinaendana?.kupitia yeye serikali inapata sh ngapi ?au anazalisha sh ngapi? ili awe na uhalali wa kutumia hicho kiwango kwa siku.Je watanzania wanafaidikaje na uwepo wake katika utumishi wa umma?.Au watanzania tunaumia kiasi gani tukiwa na viongozi kama huyu? NISAIDIENI MAJIBU JAMANI
Kwa hiyo itabidi amtafute yule Changudoa siyo?Sasa hivi ndiye Mkuu wa Mkoa.
Haya ha ha!Kwa hiyo itabidi amtafute yule Changudoa siyo?
DuuuhhNimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Kama RC yuko hai na yeye atakuwa hai tu. Why notHaya ha ha!
Changudoa kwa yuko ,hai bado? Ni zamani 10 years ago!