johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukimshika mkono then unaelekea dirishani kuchukua tiketi yako!Ana mikono mingapi yenye kuruhusu watu zaidi ya 100 kumshika?
Amekua Yesu yeye adi awe na ubavu huo?Ukimshika mkono then unaelekea dirishani kuchukua tiketi yako!
Unachotakiwa ni kumuwahi yeye Waziri siyo Taifa Stars!Ikitokea jamaa akafika wakati taifa stars washaingia ofa yake itakuwa expired!??
Wanasiasa inabidi uishi nao kwa akili.
Bonge la kiki.
Mkuu usiwe mbishi changamkia ofa!Amekua Yesu yeye adi awe na ubavu huo?
Hahahaa........!
Naibu waziri wa maji mh Awesu amesema atawalipia kiingilio mashabiki wote atakao wakuta uwanjani kesho katika mechi ya Stars na Uganda.
Awesu amesema atafika mapema uwanjani akiwa amevalia jezi za Stars na unachotakiwa kufanya ni kumkimbilia na kumshika mkono tu basi mtaingia naye ndani ya uwanja.
Vijana changamkieni fursa hiyo mkaishangilie Taifa Stars
Source Clouds 360 on saturday
Maendeleo hayana vyama!

Kumbe huwa 'mnampa kura' sio Kuwa zinaibiwaMambo haya haya ya kijinga kijinga unashangaa ukifika wakati wa uchaguzi tunampa kura
Hahahaa....... Pohamba umeua!Mzigo umetoka Vijana wanauchangamkia kuutafuna
Ukija kuskia gharama Za uhamasishaji Baada ya game utachoka
Wapo wanaoshinda kwa haki sio wote wananchi wanawakataaKumbe huwa 'mnampa kura' sio Kuwa zinaibiwa
kushika Mkono anamsnisha unachukua pesaAmekua Yesu yeye adi awe na ubavu huo?
Ingia bure kwanza ukitoka unakutana na Party ya kitaifa!Awamu hii tutashuhudia mengi ya kushangaza kama sio kustaajabisha. Watu tunasubiri kunywa beer za nusu bei baada ya 'ushindi'wa stars
Sent using Jamii Forums mobile app