Naibu waziri Juma Awesu atoa ofa ya kuwalipia kiingilio mashabiki wote watakaowahi uwanjani kabla hajaingia Taifa Stars vs Uganda

Mzigo umetoka Vijana wanauchangamkia kuutafuna

Ukija kuskia gharama Za uhamasishaji Baada ya game utachoka
Leo nimepita kuanzia airport mpaka Posta kuna printed mabango ya kuhusu match ya kesho. Sielewi hizi hela zimetoka mfuko gani na cha kushangaza sijasikia kokote kama kuna fungu la zawadi ya wachezaji endapo watamfunga Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anadhani shida za Watanzania ni kukosa kiingilio cha mpirani hadi walazimike kumpa mkono mtakatifu mbunge?
Mbona mechi za Simba zinajaa bila kupewa mkono mbunge wa ccm?
Wanadhani watu ni masikini kiasi hicho? Basi akasimame pale Lumumba watu 100 watakao muonyesha kadi ya chama awape tiketi, huko ndio kwenye masikini was kipato na akili

Kamanda Chakaza changamka ofa hii haina itikadi!
 
Leo nimepita kuanzia airport mpaka Posta kuna printed mabango ya kuhusu match ya kesho. Sielewi hizi hela zimetoka mfuko gani na cha kushangaza sijasikia kokote kama kuna fungu la zawadi ya wachezaji endapo watamfunga Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Zawadi hazina ten %

Lakin Kwenye Mabango, Kwenye matangazo kuna 10%
 
Wonders shall never end in shit.hole country like Tz

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom