johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Hahahaa........ Lesotho tumemtuma mtaaluma Ismail Aden Rage!Jamani hizo mbwembwe muwe mnakumbuka kufanya mambo na Lesotho ifungwe la sivyo watu watakunywa bia za nusu bei na kusonga mbele tusisonge!!
Imagine afike pale kipindi cha pili, utakuwa bado unamsubili aje ndio uingie???Unachotakiwa ni kumuwahi yeye Waziri siyo Taifa Stars!
Atacheza kwenye timu ya Cape Verde?Hahahaa........ Lesotho tumemtuma mtaaluma Ismail Aden Rage!
Usipopata nafasi ya kumshika je?Ukimshika mkono then unaelekea dirishani kuchukua tiketi yako!
Imeandikwa,Mashabiki wa kweli hawategemei kumshika Waziri Mkono ili waingie UwanjaniMkuu usiwe mbishi changamkia ofa!
Subira yavuta heri mkuu...... Nina uhakika waziri hawezi kuingia fungulia mbwa!Imagine afike pale kipindi cha pili, utakuwa bado unamsubili aje ndio uingie???
Yule Naibu ameshasema atatoa kiburudisho bure kwa kila ataefunga goalHahahaa........!
Bado hatujawasikia akina Wakudadavuwa!
Leo nimepita kuanzia airport mpaka Posta kuna printed mabango ya kuhusu match ya kesho. Sielewi hizi hela zimetoka mfuko gani na cha kushangaza sijasikia kokote kama kuna fungu la zawadi ya wachezaji endapo watamfunga Uganda.Mzigo umetoka Vijana wanauchangamkia kuutafuna
Ukija kuskia gharama Za uhamasishaji Baada ya game utachoka
Unaelewa maana ya " wote "?
Kamanda Chakaza changamka ofa hii haina itikadi!Hivi anadhani shida za Watanzania ni kukosa kiingilio cha mpirani hadi walazimike kumpa mkono mtakatifu mbunge?
Mbona mechi za Simba zinajaa bila kupewa mkono mbunge wa ccm?
Wanadhani watu ni masikini kiasi hicho? Basi akasimame pale Lumumba watu 100 watakao muonyesha kadi ya chama awape tiketi, huko ndio kwenye masikini was kipato na akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimepita kuanzia airport mpaka Posta kuna printed mabango ya kuhusu match ya kesho. Sielewi hizi hela zimetoka mfuko gani na cha kushangaza sijasikia kokote kama kuna fungu la zawadi ya wachezaji endapo watamfunga Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii nchi ujanja ujanja hautaisha.......sehemu ukimuona Le mutuz na mzungu pori ujue hapo ni upigaji tu kwa kwenda mbele!Zawadi hazina ten %
Lakin Kwenye Mabango, Kwenye matangazo kuna 10%
Wewe mkono huujui?!samahani mkuu, unaruhusiwa kumshika sehemu yoyote ya mwili wake??.
Sent using Jamii Forums mobile app