Huyu ni mpuuzi sana! Badala ya kuwasaidia walemavu, yeye ndio anasaidiwa! Akumbuke jiwe hayupo! Pumbavu sana!Ni bora akaokoa pesa na muda wake. Yule jamaa Steven Masele akichukua fomu safari hii atamgaragaza asubuhi tu. Akumbuke mtetezi wake hayupo!