Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera
"Fedha za mfuko wa jimbo hutolewa kwa mujibu wa sheria ya mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Aidha fedha hizi zinatumika kwa kusimamia miongozo, kanuni na taratibu za usimamizi wa fedha za umma" - Mhe. Khamis Hamza
"Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatilia utaratibu unaotumika na Halmashauri za Magharibi A kwenye mfuko wa jimbo" - Mhe. Khamis Hamza