Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Si ajabu chizi kumuona timamu ndio chizi, ukipita jalalani chizi anakucheka anakuona wewe ndio chizi sasa ndio sawa na wewe pimbi wa kawe.
Sawa Chizi na Pimbi Mwenzangu wa Kawe. Huna ubavu wa Vita vya maneno nami hapa JamiiForums na kama unataka Vita nami waambie Mods watuminyie kidogo tu wasitupige BAN ili nikunyooshe na ukimbie Mwenyewe hapa Juha ( Fool ) mkubwa Wewe.
 
Kwani Magufuli alikuwa Msukuma? Mrundi anakuwaje Msukuma?

Halafu msijizime data, labda ya ziwa si ya wasukuma pekee, kuna Mara na Kagera, acheni kujipaisha kiboya.

Kama mnaamini Wasukuma mpo wengi daini Jamhuri yenu.
Natokea mara,Tena taarimai(Tarime) Sina hakika kama hoja ya mleta mada ni ndiyo bet ya rais lakini ukweli ni kuwa Kanda ya ziwa kwenye issue ya kura WASUKUMA hawana mpinzani. Hata mara na Kagera wakisusa, these people can change numbers in the ballot box. Yaan wasukuma wakiamua kuwa na umoja wanaweza kuwa na wabunge zaidi ya 150 bungeni sema wengi ni ccm.
 
Naona umeamua kuchukua muda wako Kumuelimisha Juha na Kubwa Jinga ( KJ ) wa JamiiForums. Hongera.....!!
 
Natokea mara,Tena taarimai(Tarime) Sina hakika kama hoja ya mleta mada ni ndiyo bet ya rais lakini ukweli ni kuwa Kanda ya ziwa kwenye issue ya kura WASUKUMA hawana mpinzani. Hata mara na Kagera wakisusa, these people can change numbers in the ballot box. Yaan wasukuma wakiamua kuwa na umoja wanaweza kuwa na wabunge zaidi ya 150 bungeni sema wengi ni ccm.
Hebu nipe elimu, Wasukuma wana majimbo 150 usukumani?
 
Sawa Chizi na Pimbi Mwenzangu wa Kawe. Huna ubavu wa Vita vya maneno nami hapa JamiiForums na kama unataka Vita nami waambie Mods watuminyie kidogo tu wasitupige BAN ili nikunyooshe na ukimbie Mwenyewe hapa Juha ( Fool ) mkubwa Wewe.
Ni kweli sikuwezi, siwezi kushindana na nguruwe kwenye matope kwa sababu ndio mchezo anaoenjoy, wewe ni nguruwe.

Usisahau tarehe zako za kwenda Rutindi kuchukuwa dozi.
 
Ni kweli sikuwezi, siwezi kushindana na nguruwe kwenye matope kwa sababu ndio mchezo anaoenjoy, wewe ni nguruwe.

Usisahau tarehe zako za kwenda Rutindi kuchukuwa dozi.
Baada ya kujitangaza Kwetu kuwa unajihusisha na Michezo ya Kigiriki, Kiitaliano na Kiarabu tunaomba kujua Gharama zako Unazotoza ili Wadau wa 'Kufukua' tukutafute.
 
Wewe nguruwe unaijuwa MWASHITA? Vijitu vifupi mna shida sana.
Baada ya kujitangaza Kwetu kuwa unajihusisha na Michezo ya Kigiriki, Kiitaliano na Kiarabu tunaomba kujua Gharama zako Unazotoza ili Wadau wa 'Kufukua' tukutafute.
 
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.

Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.

Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.

Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.

Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.

Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu ( in advance ) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini ( tena kupita Maelezo ) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Hili sikupingi ,umenena vyema na
Hata mpaka Sasa awe makini na awe na Tahadhari ya Hali ya juu ,maana kuna kundi frani wao wanaamini nchi hii ni yao

Lakini ?lile kundi la mbwa mwitu tuliamini vipi hii kalata ya biteko labda wamecheza wao Ili awe daraja la kuwavusha,Ili baadae ya uchaguzi nafasi ya naibu waziri mkuu ifutwe na awekwe pembeni Ili Wala mema ya nchi waendeleee .Doto ni active p

Lolote lawezekana

Mda utatuambia
 
Siku hizi umekua,hongera!! Unaonaje ukagombea ubunge hapo kawe?
 
Kwani Magufuli alikuwa Msukuma? Mrundi anakuwaje Msukuma?

Halafu msijizime data, labda ya ziwa si ya wasukuma pekee, kuna Mara na Kagera, acheni kujipaisha kiboya.

Kama mnaamini Wasukuma mpo wengi daini Jamhuri yenu.
Asee wasukuma hatari sana, wako wengi. Yaani ndani ya miaka 10 kijiji chetu kimemezwa chote, lugha imegeuka ni ya wasukuma, inauma sana.
 
Siku hizi umekua,hongera!! Unaonaje ukagombea ubunge hapo kawe?
Nilipozaliwa niliwahi Kukuambia kuwa GENTAMYCINE napenda Madaraka na Uongozi? Wewe umeshagombea huko Kwenu Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba Village?

Hopeless....!!
 
Nilipozaliwa niliwahi Kukuambia kuwa GENTAMYCINE napenda Madaraka na Uongozi? Wewe umeshagombea huko Kwenu Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba Village?

Hopeless....!!
Naona unaponda sana karibu kila kiongozi anaeingia madarakani nikaona its better ukaingia ulingoni
 
Back
Top Bottom