Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Hii nchi ikiongozwa na Majaliwa tutatoboa mapema mno.
Nikiambiwa nichague kati ya Majaliwa na Samia sitopoteza muda Kumchagua Samia kwakuwa Majaliwa kama Majaliwa ana Mapungufu mengi Kubwa likiwemo la Uwongo na lingine la ziada la Unafiki. Simkubali 100%
 
Itifaki tu ndio ilimfanya ashindwe kusema kweli kwamba "Magu hatunaye duniani" ila tukija kwenye ufanisi Majaliwa yupo strict mno hata Mpango hamfikii.Majaliwa ni mwamba!
 
Ondoa hapo neno may be na jua ya kwamba Dotto Biteko ndiyo next Premier wa Tanzania kuanzia mwaka 2025.
Mi nakataa, kwa Yale MAELEZO yako pale naona kabisa huyu atatumika kupata kura 2025, baada ya hapo ni kupingwa teke kabisaa alafu watoto wakishua, walai wenzie waje washike nyadhifa muhimu wavune vya kustaafia... Ila sisi wa Kanda ya ziwa.. Hatutishwi na uteuzi huo.. Maana hauponyi maumivu ya Mpendwa wetu... 😁 😁
 
Mkuu nadhani huwajui vizuri watu wa kanda ya ziwa,, na usirudie kupotosha watu na kuwafanya wazubae na huo uteuzi,, sikia nikwambie neno,, zaidi ya 70% ya watu wa kanda ya ziwa ni wasukuma na kama ulivyosema hakuna kitu kinawaumiza kichwa kama kuondokewa na mpendwa wao kimazabe mazabe,, (wasukuma kawaida huwa wanaamini kila kifo kina sababu za kutengenezwa na wanadamu,, huko hakuna kifo cha "mapenzi ya Mungu") na la pili kumbuka hakuna watu wenye ukabila kama wasukuma,, kuondolewa uwaziri wa ardhi Angelina Mabula kwao wanaona kama "dharau zimezidi" kama nilivyosema hawa watu wana ukabila sana huyo Biteko ni kabila gani,,?

Mimi ni msukuma upande wa mzazi mmoja na sipendi kuyaishi hayo lakini lazima niseme ukweli kwa namna ninavyowajua hawa ndugu zangu,,
Umemsahau na yule wa nishati, bado huko wizarani mmetemwa mbaya, hii ni danganya toto ya kuletewa msumbwa
 
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.

Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.

Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.

Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.

Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.

Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu ( in advance ) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini ( tena kupita Maelezo ) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Hatutaki majizi ya kijani tena
 
Biteko anajibrand vizuri sana kwa 2025 kuwa PM.
 
Kanda ya ziwa sio ngumu kwa ssiem maana wakazi wa kanda hiyo 65%-70% ni wasukuma ambao ni bendera fata upepo ya ssem ,hata kama wangenyimwa huduma zote na watawala wakajakuambiwa "tunawapenda na tunawajali ndugu zetu " basi kazi kwisha sasa wahaya na wakurya na jamaa zao ni kinyume haki bin haki
 
Mkuu nadhani huwajui vizuri watu wa kanda ya ziwa,, na usirudie kupotosha watu na kuwafanya wazubae na huo uteuzi,, sikia nikwambie neno,, zaidi ya 70% ya watu wa kanda ya ziwa ni wasukuma na kama ulivyosema hakuna kitu kinawaumiza kichwa kama kuondokewa na mpendwa wao kimazabe mazabe,, (wasukuma kawaida huwa wanaamini kila kifo kina sababu za kutengenezwa na wanadamu,, huko hakuna kifo cha "mapenzi ya Mungu") na la pili kumbuka hakuna watu wenye ukabila kama wasukuma,, kuondolewa uwaziri wa ardhi Angelina Mabula kwao wanaona kama "dharau zimezidi" kama nilivyosema hawa watu wana ukabila sana huyo Biteko ni kabila gani,,?

Mimi ni msukuma upande wa mzazi mmoja na sipendi kuyaishi hayo lakini lazima niseme ukweli kwa namna ninavyowajua hawa ndugu zangu,,
Acha uongo wewe... Mimi nimezaliwa Usukumani na nimefanya kazi Usukumani tena nimeingia mpaka kule Bush ndani ndani... Wasukuma hawana Ukabila kabisa, mimi nimepokelewa Usukumani hakuna anayenijua ila nimepewa Misosi ya kila aina tena bure kabisa... Kidogo nipewe na mke ila nikakataa kwa sababu nilikuwa ninae mtoto mzuri.

Dotto Biteko mwenyewe ni msukuma, kazaliwa huko Geita. Na ni mbunge wa huko Geita. Kuhusu Angelina Mabula hakuna mtu anayeumia kwa sababu Angelina Mabula ni mbunge wa Mwanza mjini jimbo la Ilemela. Jimbo la Ilemela lina watu wa makabila mengi sana, kutolewa kwa Angelina Mabula hakuwezi kufanya watu wa Ilemela kukasirika.

Hapo kwenye Wasukuma na Ukabila umezingua, japo mimi sio msukuma. Wenye ukabila ni hayo makabila ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro huko ndiko kuna Ukabila, hao jamaa na wakenya tabia zao ni moja
 
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.

Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Kongole Kwa kutumia Jicho la Tai kuona mwenendo wa Uchaguzi 2025..

MH NWM Biteko ni pia hana makundi yoyote kwahiyo MH Samia katumia hiyo karata kupata Kura za kutosha hasa Kanda ya Ziwa ambapo ndio sehemu pekee inayoamua Nani awe Rais kwa wingi wa Kura zao
 
Uko sawa kabisa...Je Dotto hawezi tumika kama Toilet paper?
 
Mkuu nadhani huwajui vizuri watu wa kanda ya ziwa,, na usirudie kupotosha watu na kuwafanya wazubae na huo uteuzi,, sikia nikwambie neno,, zaidi ya 70% ya watu wa kanda ya ziwa ni wasukuma na kama ulivyosema hakuna kitu kinawaumiza kichwa kama kuondokewa na mpendwa wao kimazabe mazabe,, (wasukuma kawaida huwa wanaamini kila kifo kina sababu za kutengenezwa na wanadamu,, huko hakuna kifo cha "mapenzi ya Mungu") na la pili kumbuka hakuna watu wenye ukabila kama wasukuma,, kuondolewa uwaziri wa ardhi Angelina Mabula kwao wanaona kama "dharau zimezidi" kama nilivyosema hawa watu wana ukabila sana huyo Biteko ni kabila gani,,?

Mimi ni msukuma upande wa mzazi mmoja na sipendi kuyaishi hayo lakini lazima niseme ukweli kwa namna ninavyowajua hawa ndugu zangu,,
Huu upuuzi wa kusema wasukuma wanasikitishwa na kuondokewa na mtu wao ukome kwani yeye alikua nani mpaka asife? Aliambiwa achukuwe tahadhari ya korona akaleta ujuaji akafa naona kama mnataka kuibeba kama agenda narudia tena huo ni upuuzi.
 
Inawezekana kweli amewekwa lwa lengo hilo lakini nachojiuliza mbona DB(Dotto Biteko) ni kama hana ushawishi katika kanda hii ya ziwa.

Kuhusu matola kutoamini kama kanda ya ziwa inaushawishi katika kura amekurupuka sana. Maana ni ukweli ulio wazi kuwa hii kanda ndiyo ina watu wengi sana na wenye misimamo yao, naomba usiwa underrate wasukuma mkuu matola hawa watu wana misimamo yao wakiamua huwafanyi kitu umedai wako mikoa mitatu tu kwa kutumia neno mwashita mimi nimekuelewa kuwa umemaanisha wapo mwanza, shinyanga na tabora kitu ambacho si sahihi

Japo wasukuma hawana ukabila kama ambavyo wewe unaona wanao lakini ndiyo kabila linaloenea kwa kasi ya ajabu katika nchi.

Mikoa ambayo naweza nikakutajia ina asilimia kubwa ya wasukuma ni Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Katavi, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Rukwa, Kagera, Mara na hata Tanga karibia wilaya yote ya Kilindi ni wasukuma kwahiyo hao watu sio wa kubeza
 
Back
Top Bottom