Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Ipo siku kama Nchi tutapata Naibu Makamu wa Rais ,tuendelea kuchekelea tu uvunjaji wa katiba
 
Wapi ushahidi?
 
sasa biteko na wasukuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukabila na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma!
 
Uchumi wetu ni kura nyingi.
 
Sioni ushawishi wa maana wa Dotto,labda hiyo kanda ya ziwa huifahamu vizuri.
 
Yeye huko Bukombe hana uhakika, ndiyo iwe kanda ya ziwa?
 
Makonda ndio turufu kuu,huyo keshashindwa kufanikisha azma ya Rais
 
Tuwaze mambo yenye tija kwa Taifa kwa sasa kuliko haya yasio na tija!
Umeme
maji kwa wote
elimu iboreshwe
Ufisadi upigwe vita
Maisha bora kwa wa Tz ndio vinatoa KURA na sio blahblah
 
Mama kuwa makini na watu wenye mawazo ya kikanda.ni hatari sana kwa umoja WA taifa.sikupangii ila kuwa nao Makini sana NI ndumi la kuwili hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…